Elizabeth Gupta Kufunga Ndoa na Kelven Jan.2011

boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,281
310
attachment.php

Bibi Elizabeth Gupta anategemea kufunga ndoa Jan 2011 na Kelvin. Send off inategemea kuwa 02-Jan-2011.
Vikao vya send off vinaendelea. Ninawatakia kilala kheri watajariwa hawa wawili, mungu awape watoto kuzisha furaha yao ya ndoa
 
attachment.php

Kevin hakuwa longo longo wala bibie Eliza. Walidhamiria kikweliii
 
Hivi hiki kitumbo ni kushiba vyakula vya BBA au mimba au nini jamani?
 
kama mapenzi ya kweli yapo eeh Mola awajalie furaha maana ninavyokumbuka mimi baada ya eliza kutoka BBA alimponda kelvin mbayaaa.tena alimchambua hasa mpaka ufupi wake ,na hata ingekuwa kupretend hampendi sio hivyo.
ila nawatakia furaha ya kweli
 
You always end up loving the one you hated the most. God has his way of revenging.
 
attachment.php

Kevin hakuwa longo longo wala bibie Eliza. Walidhamiria kikweliii
Ama kweli mvumilivu hula amawefu(mbivu),kwani wakati wako mjengoni Eliza alikanusha kuwa na uhusiano na hatarajii kuwa na uhusiano na huyo Mnaija,kumbe jamaa alikuwa akifanya kweli ati
 
kama mapenzi ya kweli yapo eeh Mola awajalie furaha maana ninavyokumbuka mimi baada ya eliza kutoka BBA alimponda kelvin mbayaaa.tena alimchambua hasa mpaka ufupi wake ,na hata ingekuwa kupretend hampendi sio hivyo.
ila nawatakia furaha ya kweli

shida mama hubadirisha mtazamo wa wengi, baada ya Kevin kushinda demu akagundua kuwa pale kuna fwedha afanyeje na yeye alishasema alikuwa na shida sana kwao bongo!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom