Elishilia kaaya kuwa mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki !?

Huyu bwana ni kweli anautamani huo ubunge ila wameru walikuwa na mahanjam nae 2005 mamvi akamtaka a2lie ila kwa sasa amefutika huko Milima na aliyesababisha akasahaulika ni Samwel Nassary,TUTAFURAHI AKIPITISHWA magamba wakione.
 
Ifike wakati tuwakatae professionals kuingilia siasa. Aliwahi kuwa mkurugenzi wa fedha, na sasa ni Director General. Hizi ni nafasi za juu sana kitaaluma. Inanitatiza ninapoona mtu kama huyu anaamua kwenda kusinzia mjengoni na wala asiweze kutumia uwezo wake wa taaluma yake tena. Anaenda kupiga mayowe "ndiooooooo".

Mkurugenzi wa taasisi nyeti kama TANAPA, AICC wanapoacha kazi na kutaka kuwa wabunge - inaonesha kuna jambo!!!
 
........... [B said:
Angepatikana mtu kama Mh.Dr.Slaa atie miguu Arumeru mashariki.[/B]:lol:

Athubutu aone atakavyopigwa chini kama gunia!
Itakuwa aibu kubwa......bora aendelee na ujiko wake wa 7m/= anazolipwa kama Katibu Mkuu.
 
Lakini nadhani hapa ndio kuna tatizo.Watu wengi wazuri wanaogopa kujitokeza,leaving wananchi with no choice.
Jitokezeni,halafu wananchi waamue.Ila ni vizuri uzijue vizuri sana siasa za Meru kabla ya kutia mguu.
Wana vigezo vyao vya kuchagua.There is no hyena without a friend.
 
Huyu bwana ni kweli anautamani huo ubunge ila wameru walikuwa na mahanjam nae 2005 mamvi akamtaka a2lie ila kwa sasa amefutika huko Milima na aliyesababisha akasahaulika ni Samwel Nassary,TUTAFURAHI AKIPITISHWA magamba wakione.
natabiri ushindani ni kati ya e.kaaya na j.nassari.nassari ana kazi ya kuwashawishi wazee wa kimeru.
 
Namfahamu Elishilia Kaaya tangu akiwa KKKT makao makuu kama Naibu Katibu Mkuu (Utawala na Fedha).Ni mchapa kazi hodari,mwanahabari mzuri aliyebobea katika mashairi ya kidhungu ukibahatika kulisoma gazeti la Arusha Times utakutana na mashairi yake.Ni mtunzi wa kitabu cha mashairi "The Bleeding Heart and Other poems" ambacho kimeidhinishwa na wizara ya elimu kutumiwa na wanafunzi wa kidato cha tano & sita mchepuo wa literature.

Bwana Kaaya alijiunga na AICC kama meneja wa fedha na baadae akapanda cheo hadi mkurugenzi wa fedha na hatimaye mkurugenzi mkuu.Mchango wake ni mdogo sana ukimlinganissha na wakurugenzi waliomtangulia kama Sammy Mdee ambaye alikifanya kituo cha mikutano cha AICC kujulikana sehemu kubwa ya dunia mikutano mikubwa enzi za Mdee imeyeyuka kabisa siku hizi mikutano ya ndani kama NSSF,CCM,EUWRA,NBAA ndiyo inayotgemewa.

Bwana Kaaya ni mjumbe wa Halmashauri kuu taifa CCM nafasi hii ameipata kupitia mlango wa nyuma.Ikumbukwe mkoa wa Arusha nafasi ya ujumbe ilikuwa ikigombewa na Elisa Mollel na Mwenyekiti wa mkoa Mzee Lekule Laiser wapinzani wa maslahi ya Laigwani Lowassa.Lowassa alitumia nafasi yake ya uwaziri mkuu wakati huo kuwazushia kashfa ya rushwaa na hatimaye alifanikiwa kuwaondoa kwenye mpambano wa kuwania nafasi hizo.Elishilia Kaaya chaguo la Lowassa akazawadiwa nafasi ya ujumbe kwaajili ya kulinda maslahi ya Laigwanani Lowassa.

mkuu ngongo nimeipenda tathmini yako.kuhusu AICC huyu jamaa amepashusha sana,tumekosa mikutano mingi ya kimataifa ni aibu kuona vihoteli vya juzi juzi vinapata mikutano mingi sana.isitoshe sera yake ya kupunguza wafanyakazi pale AICC bila kuwapa mafao stahiki ni pigo jingine kwake.sina uhakika kama yuko karibu sana na wananchi wa jimbo lake?!
 
uliza Patrick Tsere kilichomsibu, huyu alikuwa pia mkurugenzi wa AICC
 
hiyo cha mtoto alipiga fedha ya uhakika katika ukarabati wa ukumbi mkubwa wa aicc wa simba kwa ajili ya maandalizi ya mkutano wa sullvan yaani hakuna ukumbi mbovu duniani kama huo ukikaa kiti cha katikati ili kutoka ili ukajisaidie lazima watu wote msimame ni kama ukumbi wa sinema jamaa hapo alipiga fedha iliyosimama

Wewe uliyajuaje haya????
 
Back
Top Bottom