Elimu

mkalagale

Member
Sep 25, 2011
71
8
Mimi ni wa email adress gabrielsemindu@gmail.com naulizia kama matokeo ya kidato cha nne 2011 yatatoka lini.
 
Ningumu kusema exacly siku,ila naamini yatatoka j3 au j4. Tatizo ikiwa sherehe ya maulidi,sijui itakuwaje? Vuta subira kwa hii weekend tu,wiki ijayo yatakuwa out!
 
Bwana hakuna uhakika. Hilo suala lipo mikononi mwa NECTA wenye jukumu la kuikamilisha kazi hiyo na waziri wa Elimu mwenye jukumu la kutangaza. Ila yamechelewa da!
 
Back
Top Bottom