abduel paul
Senior Member
- Nov 23, 2010
- 133
- 5
Wasomi wengi tanzania hawana faida wala msaada wowote katika taifa letu. Isipokuwa kwa wanasiasa, Je kwa kuanzia vyuoni, nini faiada ya msomi wa leo? KIFANYIKE NINI MSOMI AWE NA NAFASI YAKE TZ?
Jaribu kuedit uconnect title na thread yenyewe!Wanafunzi wa elimu ya juu tanzania hawana faida wala msaada wowote katika taifa letu.

Hata sielewi hii thread yako imefanikiwa vipi kufika hapa.

we una elimu gani?

wasomi wa tanzana ni mambumbumbu wakiwa chuoni.... wamawzo ya kuisadia nchi ya nakuja baada ya kusota mtaani.. wakikosa ajira... hapa ndipo wanaanza kujikita kujadili matatizo ya nchi... wakiwa vyouni wanawaza kuongezewa posho na kuratibu migomo isiyokuwa na tija.... pindi wakiwa chuoni wanaheshimika na wanasikilizwa lakin ukimaliza we ni mwa tu, kile kilemba cha kuongea kinatoka.... so you got no where to go, no hwere to raise your voice....

we una elimu gani?
ka umeona ni jema basi kua wa kwanza kuanzisha movement.................

Mi nilidhani utashtuka kutoka usingizini? Maana kama nitakwambia nimemaliza la saba, utasema we chuo kikuu, nikisema chuo kikuu, utasema we chuo kitukufu, nikisema ni Masters we utasema una PHD, mwisho wa cku 2taulizana vyeti na kutaka kwenda kuvihakiki, hatari kuliko yote tutaulizana maswali ya hesabu, HUKU TAIFA LINAMEZWA NA WANASIASA, UNAONAJE TUKIDAI NAFASI YETU TUWA AMBIA, WE NEED 2 B RECOGNIZED, WE Want 2 claim bk our chances, wht hs failed 2 b sorted by politicians, shld b sorted by Education, nt everythng nid a wise thoughts, smthng nid principles & procedures, Una hoji Elimu yangu hali kuna waziri wa nishati alisema umeme ungewaka mfululizo mwezi July!! Kwnn alisema hv?,