Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

Mdavire

Member
Jun 11, 2011
18
0
Kuna ndugu yangu alisoma O-level hapa Tz,ila matokeo yake ya fm4 alipata 4,akaenda uganda akaendelea na fm5 na 6,six akapata 2,Je huyu anaweza pata chuo hapa na kuchukua degree? .Naomba ushauri wako kama una infor kuhusu hili.Thanks
 
bongo mpaka uwe umepass 4m4 ndo waweza soma degree..mwambie asomee degree huko huko uganda..
 
credit 3 anazo??? kama hana ukaze huko huko...then aje huku kupiga kaz!!!
 
Anazo 3 za A-level
nasemea za o-level!! ila kwa navojua hasa mwaka huu,tcu walikua wanataka mtu mwenye atleast 2 princpl passes za
a-levelna 3 credits za o-level,,sasa hapo ndo nikawa na wasi...ila labdda ajaribu..
 
Thnks kwa ufafanuzi.
 
Kuna ndugu yangu alisoma O-level hapa Tz,ila matokeo yake ya fm4 alipata 4,akaenda uganda akaendelea na fm5 na 6,six akapata 2,Je huyu anaweza pata chuo hapa na kuchukua degree? .Naomba ushauri wako kama una infor kuhusu hili.Thanks
Kwa nini usimwambie aende TCU kuuliza pomoja na vyeti vyake? unawezaje kuuliza kitu humu wakati kuna chombo cha Serikilai chenye hilo jukumu na ambacho kinaweza kukupa info zote na zaidi? mbona sikuelewi?
 
anasoma tu! mana inaonesha yeye ni kwa njia za panya zaidi! bongo hapa anasoma! wapo waliomaliza six na 4 zao, na chuo wanasoma na wengine wamemaliza na gpa nzuri tu! kama anayo pesa arudi bongo tu, tena skuizi kunavyuo vingi kupitiliza bora ingekuwa zamani nngemuwia ngumu kidogo! huyu wala sio ndugu yako ni wewe mwenyewe, so mkuu wewe rudi tu, vyuo vipo vya kumwaga huku.
 
Thanks mkuu,ila cio mimi,mi elmu yangu kuanzia chekechea had chuo kikuu nlsomea humuhumu TZ.
 
Back
Top Bottom