Elimu ya Uganda na Uzalishaji Mashoga Tanzania

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,537
32,144
Ukifanya uchunguzi wako kwa makini utagundua vijana wengi waliosoma Uganda ama shule za msingi, sekondari na vyuo (ikiwemo vyuo vikuu) huingia kwenye tabia mbovu ya ushoga tena bila kificho,

Mtu unabaki unajiuliza huko Uganda katika masomo wanayosoma wanachukua na somo la USHOGA? inasikitisha sana kwa hawa vijana wetu kuamua kwa mashoga baada ya kuhitimu masomo nchini UGANDA.
 
Mpya kwangu hii....!cjapata kuickia ...!mleta mada hebu jaribu kuidadavua kidogo ili tupate kuelewa vzr...!maana kule kwetu bukoba,vijana wamepelekwa wengi sana.wengine walipelekwa kuanzia elimu ya awali mpaka vyuo vikuu.imenishtua sana hii kama itakua na ukweri ndani mwake....!
 
Ni hivi vijana wengi waliosoma Uganda walipelekwa huko wakiwa Teenage (10-20 years) sasa ule UHURU wa kukaa peke yao tena mbali sana na nyumbani na wengi wao huishi GHETTO) (na si Hosteli) huishia Kupakatana na kuanzisha mahusiano ya Jinsia moja

na ukizingatia Uganda suala la Ushoga limeshika kasi so hakuna kipingamizi hata jamii inayowazunguka, Wanaharakati wa Ushoga hupita mashuleni kutoa elimu jinsi kujiunga na Taasisi za Mashoga nchini humo,

Zaidi vijana hupewa Kondomu ili wajilinde magonjwa pindi wakifilimbana. Ewe mzazi mwenye mtoto wako nchini UGANDA chukua tahadhari sana kwa mtoto wako aliye huko. Mzee Mu-7 mpaka anafikia hatua ya kupitisha ile sharia aliona tatizo ni kubwa mno hasa kwa vijana,

ingawa Sheria ile imefutwa sasa so kama dawa!!!!
 
Ngoja tusubiri wana-uganda hawakosekani humu JF | The Home Of Great Thinkers.
 
Yangu macho h ipelekwe jukwaa la mahusiano ndo itakua na wachangiaji wengi.
 
Duh nawasikitikia vijana wa leo. mnapenda mafanikio bila jasho hadi kuinamishwa. ole wenu kizazi cha nyoka.
 
Naweza kukubaliana na mtoa hoja, niliwahi kusikia ushuhuda wa binti mmoja aliyesoma Uganda alijifunzia usagaji hostel,,,
 
huo ndo ukweli maana wengi wao kwa umri wao mdogo hutaka kujifunza kila kitu na kwa kuwa hawana uangalizi wa wazazi hujiingiza hata kutumia Vileo (Sigara, Bangi, Madawa ya Kulevya & Pombe Kali) mwishowe huishia kuingizwa MSUMARI WA NYAMA) hatimaye kuzoea
 
hivi karibuni tutakuja kuwa na kundi kubwa la vijana wanaosokmezwa msumari wa nyama huko nyuma tena watadai na haki zao kama mamtoni
 
Ni hivi vijana wengi waliosoma Uganda walipelekwa huko wakiwa Teenage (10-20 years) sasa ule UHURU wa kukaa peke yao tena mbali sana na nyumbani na wengi wao huishi GHETTO) (na si Hosteli) huishia Kupakatana na kuanzisha mahusiano ya Jinsia moja

na ukizingatia Uganda suala la Ushoga limeshika kasi so hakuna kipingamizi hata jamii inayowazunguka, Wanaharakati wa Ushoga hupita mashuleni kutoa elimu jinsi kujiunga na Taasisi za Mashoga nchini humo,

Zaidi vijana hupewa Kondomu ili wajilinde magonjwa pindi wakifilimbana. Ewe mzazi mwenye mtoto wako nchini UGANDA chukua tahadhari sana kwa mtoto wako aliye huko. Mzee Mu-7 mpaka anafikia hatua ya kupitisha ile sharia aliona tatizo ni kubwa mno hasa kwa vijana,

ingawa Sheria ile imefutwa sasa so kama dawa!!!!

Nakuunga mkona mkuu.
 
Swala hili n kwei tupu maana watoto wengi waliosoma huko hupenda sana Kuchimbwa N.nya nina Ushahidi wa VIDEO
 
vijana msipende vya bure mtakuja kupigwa mtungo bila kupanga shauri yenu. Fanyeni kazi mpate kipato halali
 
Back
Top Bottom