Elimu ya Tanzania ya wenye Nacho(Law School na Uozo wake)

FFU

Member
Aug 14, 2011
5
1
Ndungu wana JF kwa wanaojua mfumo mpya wa Law scul. Hivi imeanzishwa kwa watoto wa Vigogo ama?? Kila intake utakuta wanafunzi wa UDSM wa 5 au kumi na hawa ndo choka mbaya wengi wao ila Utakuta Tumaini 100 SAUT 100 Na vyuo vingne eti kwakuwa wao wanaweza lipa in Cash. Swali kama bodi imemsomesha huyu Wa UDSM Kwa 4yearz why wasimdhamini? Ikumbukwe Most of those frm vyuo vingne wanajilipia na wanastdy 3yearz. KUNA TETESI LAW SCUL ITAKUWA 2YEARZ sasa mtu atoke 4yearz then 2 yearz dame Tatizo Elimu ya Tanzania inapangwa na Kina KABUDI na watu wachache submited
 
Usishangae, ndo profession zilivyo, ona bodi ya procurement una degree lkn mpake uwe professional inabidi upige level 4 na 5 then ufanye research ukifaulu ndio unakuwa certified! Na huchukuwa almost 2yrs
 
Back
Top Bottom