elimu ya Tanzania na kenya.!

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
wapi kuna elimu bora hasa kwa ngazi ya secondary na vyuo? Hii nimeuliza baada ya kuona wenzetu elifu ya secondary ni miaka 4 wakati sisi ni 6 shahada ya kwanza wenzetu ni miaka 4 mpaka 6 wakati sisi ni miaka 3,na 4 kwa sheria na engeneering na kuendlea je ipi elimu ni bora?
 
mkuu , unamaanisha kozi zote za undergraduate Kenya ni 4 -6 years , realy ?
Yaani hata degree za social science ambazo haziitaji muda mwingi ni 4 years ?
 
Duration of the course is not a good deteraminat factor for quality education. According to my experience, Tanzania education is good and Kenya too, where we differ is interms of english language and again language can't determine quality of education
 
Jaman Kenya wanapiga TRI SEMISTER...system,cie Dabo semista kwa 1 yr...u kan imagyne hw a 4 year course
 
different universities in Kenya have different systems. this is in order to fill out the four year duration and not to strain the school facilities. for example here in Kenyatta university an academic year has 3 semesters but a student attends only two of those semesters. in my case, I attend the September to December semester, I miss the January to April semester(we call it long holiday)and I again attend the may to August semester. Nairobi university uses a different system they don't have long holidays and they have few units per week clusters.since I don't know much about tz education I can't say which one's better.
 
Duration of the course is not a good deteraminat factor for quality education. According to my experience, Tanzania education is good and Kenya too, where we differ is interms of english language and again language can't determine quality of education

yap,mi nipo nairobi,na jamaa wanatudharau sana hasa kwa uongeaj wa kingereza,kiukwel kwenye engl wapo juu bt ubora wa elim tz tupo ju,hiyo pepa yao ya 4m 4 mtz akiifanya nafikir 0 zitapungua,masomo kama pysics na math bado ni changamoto kwao,sisi wanatucheka katika uandaaj wa documentry coz we ar poor grammatically,pia movie za kibongo zinatuangusha huku coz sub tittle nying zmekosewa
 
I don't deny that the form four paper is **** but the demands of the paper instill in us a work ethic that sets Kenyans apart.
 
wakenya huwa sijui wanawaza kufikiria nini? Mbona sisi kiswahili tunawashinda
 
Nimesoma chuo kenya ukimaliza six bongo ukienda kenya chuo utapiga miaka 3. Ukienda na cheti cha form 4 utapiga chuo miaka 4. Elimu yetu ni ngumu na ipo kukariri na kufaulu mitihani. Kenya elimu yao ni ya kumuongoza mtu na kufanikiwa kimaisha. Ndio maana hata konda pale nai jioni anaenda everning classes kwa maendeleo ya taifa. Elimu ya kenya ni ya kuongeza upeo wa kufikiri kila idara. Ndio maana wawetuzidi vitu vingi na utakuta mkenya ana ujuzi wa vitu zaidi ya course aliyesomea. Tofauti na kwetu.
 
Tatizo la msingi Tz ni mtaala hauendani na mazingira halisi ya sasa. Elimu bora ni ile inayomfanya mtu ayajue, ayaelewe, ayatawale na ayatumie kwa ufanisi mazingira yanayo mzunguka. Masomo ya utalii, kilimo, ujasiriamali, uvuvi, na usafirishaji; yanatakiwa yawe lazima kuanzia shule za msingi hadi vyuoni. Tungeweza kutumia mazingira yetu na elimu yetu ingekua bora, sio kkk
 
Back
Top Bottom