Elections 2010 Elimu ya Mh. Abood (mgombea urais Znz) ina wasiwasi

mwana siasa

Senior Member
Aug 28, 2007
119
6
WAKUU KWANZA POLENI NA MIHANGAIKO YA KILA SIKU YA MAISHA.

KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEONA KUWA MH ABOOU AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRICA MASHARIKI AMEPATA MASTERS YA PUBLIC ADMINISTRATION, SOURCE - Parliament of Tanzania. SASA MKUU HUYU ANASEMA KUWA AMEMALIZA COURSE HIYO CHUO CHA ST CLEMENTS UNIVERSITIES WEST INDIES. NIMEJARIBU KUPITIA CHUO HICHOO NIMEKUJA KUJUA KUWA

1. HAKINA COURSE HIYO YA PUBLIC ADMINISTRATION

2. HAKIELEWEKI KIKO WAPI, MARA WANASEMA KIPO CHINA, MARA KIPO US MARA KIPO SOMALIA,MARA KIPO Alofi, Niue

3. ACCREDITATION YAKE INA WASIWASI SOURCE - St. Clements University - Wikipedia, the free encyclopedia

4 . NI CHUO KISICHOELEWEKA

KWA MAANA HIYO BASI MHE ABOUD INATAKIWA AUNGANISHWE KATIKA LISTI ILE YA BW MSEMAKWELI.NA JE MHE ANAWEZA AKATAFUTWA AULIZWE JUU YA HILI SUALA MANA NI ZITO KIDOGO.

CV YA MHE UNAWEZA KUIPATA KWA KUPITIA LINK HII YA WEB YA BUNGE:

Parliament of Tanzania
 
Na kuchangaza , toka jk aingie madarakani, huyu mkuu alikuwa naibu waziri mpaka sasa. Na katika pita pita zangu sijaona popote penye kuonyesha kuwa chuo hichi kinatoa degree za online. Sasa nkuu huyu sijui alikuwa anasomaje , maana ana shughuli za kibunge na wizara, so sidhani kama anaweza akachukua off na kwenda kusoma for 1 solid year. So kama anaweza kutufafanulia tutashukuru.
 
Inawezekana kuna utata ndio, lakini mbona haukufichuliwa siku zote akiwa naibu waziri? au ndo kuchezeana...
 
Inawezekana kuna utata ndio, lakini mbona haukufichuliwa siku zote akiwa naibu waziri? au ndo kuchezeana...
kwenye hili jamani kuna tatizo. Kwa sababu ukianzisha mjadala huu - TCU wanakuambia ndio wenye madaraka. Lakini madaraka hayo ya kukaa kimya bila kuhakiki hizo degree za wenzetu sijui ni madaraka gani. Lazima tufikie mahali kila mwenye degree hata kama ameipata nje kabla ya kuajiriwa hapa home awe ameisajili kwenye rejesta maalum. Hii itasaidia pia kujua tuna wenye degree wangapi. Maana sasa ina katisha tamaa kwa wale wanaosoma na kukatwa maksi vyuoni kwa sababu tu lecturer hujaongea nae vizuri na wenzio wanazipata kwa njia ya mkato. Sijui kwa staili hii kama tutafika pamoja na hiyo ari zaidi, nguvu zaidi.
 
Tena jamani kuna degree mtu anaipata kwa mwaka mmoja?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom