Elimu ya kibongo noma !

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Elimu ya kibongo noma !
 

Attachments

  • ELIMU YA KIBONGO.JPG
    ELIMU YA KIBONGO.JPG
    48.6 KB · Views: 413
Dalili za kukosa kwetu maarifa. Hatuwezi hata kujenga madarasa ya watoto kusomea
 
I can't believe its TZ na kama ni kweli kwanini mnatoa kura na kuwapa maVX watu wasiostahiki, amkeni
 
Hao watoto wananikumbusha kwa simanzi nyingi kipindi nilipokuwa darasa la kwanza.Tulianza kuandika kwenye mchanga kabla ya kuhamia kwenye daftari(japokuwa nilipata elimu ya chekechea kwenye shule za CCM kaptura kijani shati kijani uji mwiiiiingi mwalimu hakuna) tulikuwa tukikaa chini ya mti wa muembe mkubwa sana huku tunajifunza jinsi ya kuunda herufi.
Hali hii ilitokana na uhaba wa madarasa,madawati na pia walimu walituzidi akili kwani tulienda na madaftari ila waliyachukua na kuyauza huku wakituaminisha kwamba hatuyahitaji katika hatua za mwanzoni(siwalaumu hata kidogo badala yake nawashukuru kwa kunielimisha licha ya hali ngumu walizokuwa wakizikabili).Tulikuwa tunachafuka sana kutokana na kukaa chini na baadhi waliokuwa hawazingatii usafi waliambulia funza wa kutosha.
What can't break a man can only make him stronger.Pamoja na kuanzia kwenye mazingira duni haikuathiri mwandiko wangu kwani mpaka leo bado naandika kwa ufasaha na umaridadi mkubwa na pia IQ yangu ya wastani bado iko imara.
Point yangu ni kwamba there is always greatness in every human being no matter the circumstances.We just have to look inside us and do all we can so that we finally manage to unleash the 'inner us' for a complete manifestation.
Point ya pili ni kwamba mfumo wa elimu umeshindwa kusimamia ubora wa kiwango cha elimu kwa muda wote tangu uanzishwe huku ukiendelea kuweka viraka vya hapa na pale.
Focus ipo kwenye quantity kuliko quality na hilo ni tatizo ambalo liko katika karibu kila sekta na taasisi mbalimbali nchini.Wengi huwa hawalioni hasa wanapopofushwa na tarakimu kubwa za kitakwimu ambazo wanasiasa huwa wanabwabwaja tu.
The focus ought to shift,it is about time that we start looking on the quality side of matters other than the passe quantitative mindset.
Tukiamua tunaweza na tukumbuke hatuna serikali(nchi iko kwenye auto-pilot mode) haya yatawezekana kwa juhudi zetu sisi wenyewe.
 
Back
Top Bottom