Elimu ya Kamanda Huyu

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,485
19,319
Nimepata bahati ya kufuatilia matamshi ya General Shimbo katika nyakati tofauti ukianzia lile tamko la wakati wa uchaguzi, na hili la leo kuhusu makazi ya wanajeshi. Kadri ninavyofuatilia matamko yake nimefikia hatua ya kujiuliza kama kweli Kamanda huyu ana chembe ya elimu. Matamko yake yako kama vile yanatolewa na mtu aliyeona milango ya shule kwa mbali sana katika dunia ya leo hii.

Je kuna mwenye kujua upeo wa elimu ya Kamanda Shimbo?
 
Dr mwinyi ni dr wa nini jamani? Naomaba kujua................

Nadhani ni MD, ila hajawahi kuandika prescription hata moja na hivyo hajawahi kuingia theater bila mwalimu; alimaliza shule tu na kupewa wizara.
 
turudi kwenye suala la msingi elimu ya General Shimbo, mwenye details amwage mzigo.
 
Back
Top Bottom