Elimu ya jabali la kiswahili shaaban robert hii hapa

Nancheto

Member
Mar 4, 2011
25
4
Kwa wasiofahamu elimu ya mwandishi wa vitabu vya riwaya na mashairi hayati shaaban Robert ana elimu ya darasa la nne.Unazikumbuka
kazi zake hizi?Kusadikika,kufikirika,Adili na Nduguze n.k.Je hao wasomi wetu wa sasa na phD zao za vitini watamfikia huyu?
 
Shaaban Robert hakuwa na darasa nne tu. Alimaliza Middle School ya Kikoloni ambayo kwa sasa unaweza kuilinganisha na Form Six. Alijiendeleza kielimu binafsi akiwa anafanya kazi serikalini. Vyeti, hasa vya siku hizi, havionyeshi ujuzi wala umahiri wa mtu. Siku zile ilikuwa hivyo.
 
l
kumbukumbu zaonesha kuwa alimaliza darasa la nne kwenye shule ya kichwele(kwa sasa uhuru mchanganyiko) mwaka 1922 kisha alirudi pangani na hatimaye aliajiriwa kwenye idara ya forodha hapo pangani.si vibaya ukitujuza kama kuna kozi zingine alisoma baada ya ajira hiyo ya mkoloni
 
Kwa wasiofahamu elimu ya mwandishi wa vitabu vya riwaya na mashairi hayati shaaban Robert ana elimu ya darasa la nne.Unazikumbuka
kazi zake hizi?Kusadikika,kufikirika,Adili na Nduguze n.k.Je hao wasomi wetu wa sasa na phD zao za vitini watamfikia huyu?
unamautani na mshua eti enh!
 
Back
Top Bottom