Elimu ya demokrasia nchini

NADA

New Member
May 3, 2011
3
0
Elimu ya demokrosia nchini inahitajika sana, ili wananchi wengi waelewe haki zao za demoksia ndani ya nchi yao ili waweze kujikomboa ktk makucha ya watawala wa kiimla.
Elimu hiyo ya demokrasia iambatanishwe na elimu kuhusu sheria ya nchi ili wananchi wapate uelewa wa kutosha.:happy:
 
NADA
Unazungumzia DEMOKRASIA au DOMOKRASIA?
Hapa Tanzania kinachoruhusiwa ni domokrasia na upindishaji wa sheria....mambo ya demokrasia ni mambo ya kigeni na hayafai kuigwa!!!!

Bado idadi ya watu wanaotaka demokrasia TZ sio wengi, ikitimia idadi basi mchakato wa kuelekea huko kwenye demokrasia utaanza kama vile ulivyotokea Tunisia!
 
Mi kweli mkuu! Ukizingatia jinsi watawala walivyotaka kupindisha kwa makusudi mswada wa kuanzisha katiba mpya-ili halisi wakijua kuwa wanalenga kuleta domkrasia insted of demokrasia.
 
tanzania lazima ipewe heshima kwakujenga demokrasia ata hii ya uhuru wa kusema paka kumsema rahis utakavyoooooooo.kama umetembea nchi nyingine utajua si kitu rahs kama unavofikiria
 
Back
Top Bottom