Elimu ya Bongo na ya Nje Ipi Bora?

Sio kweli kwamba chuo kikuu bora kwa Tanzania ni UDSM, Kwani ubora wa chuo huwa unategemea zao linalotolewa na hiyo RANK uliyoitoa ulifocus kwenye nini? je ubora wa elimu? umri wa chuo? mazingira ya chuo? au umetumia vigezo gani? msipende kusikiliza mawzo ya wanasiasa kwenye swala la elimu hapa kwenye taifa letu.
MBONA MAFISADI WENGI WAMESOMA UDSM??????? SASA JE UBORA WA HICHO CHUO NI NINI????
Kwa upande wangu mimi naona chuo kikuu bora hapa ketu ni SUA, na kwa upande wa elimu ya nje na ya ndani huwa mimi naona elimu ya ndani ya taifa lako huwa ni bora sana kwa kianzio (graduates) kwani wapo watu ambao wamesoma vyuo vya nje ambavyo hata TCU bado haivitambui.

Methodology used to create the rankings. The unit for analysis is the institutional domain, so only universities and research centres with an independent web domain are considered. If an institution has more than one main domain, two or more entries are used with the different addresses. About 5-10% of the institutions have no independent web presence, most of them located in developing countries.Catalogue of institutions includes not only universities but also other Higher Education institutions following the recommendations of UNESCO.

University activity is multi-dimensional and this is reflected in its web presence. So the best way to build the ranking is combining a group of indicators that measures these different aspects. Almind & Ingwersen proposed the first Web indicator, Web Impact Factor (WIF), based on link analysis that combines the number of external in links and the number of pages of the website, a ratio of 1:1 between visibility and size. This ratio is used for the ranking but adding two new indicators to the size component: Number of documents, measured from the number of rich files in a web domain, and number of publications being collected by Google Scholar database. As it has been already commented, the four indicators were obtained from the quantitative results provided by the main search engines as follows:

Size (S). Number of pages recovered from four engines: Google, Yahoo, Live Search and Exalead. For each engine, results are log-normalised to 1 for the highest value. Then for each domain, maximum and minimum results are excluded and every institution is assigned a rank according to the combined sum.
Visibility (V). The total number of unique external links received (inlinks) by a site can be only confidently obtained from Yahoo Search. Results are log-normalised to 1 for the highest value and then combined to generate the rank.
Rich Files (R). After evaluation of their relevance to academic and publication activities and considering the volume of the different file formats, the following were selected: Adobe Acrobat (.pdf), Adobe PostScript (.ps), Microsoft Word (.doc) and Microsoft Powerpoint (.ppt). These data were extracted using Google and merging the results for each filetype after log-normalising in the same way as described before.
Scholar (Sc). Google Scholar provides the number of papers and citations for each academic domain. These results from the Scholar database represent papers, reports and other academic items.

The four ranks were combined according to a formula where each one has a different weight:

1.Visibility (External in links) 50%
2.Size (web pages) 20%
3.Rich files 15%
4.Schoolar 15%

According to your opinion (vague statement) SUA is no 1.But according to researched ranking UDSM is the best in Tanzania .
For more information go to
Ranking Web of World universities: Contact Us

Sio kweli kwamba chuo kikuu bora kwa Tanzania ni UDSM, Kwani ubora wa chuo huwa unategemea zao linalotolewa na hiyo RANK uliyoitoa ulifocus kwenye nini? je ubora wa elimu? umri wa chuo? mazingira ya chuo? au umetumia vigezo gani? msipende kusikiliza mawzo ya wanasiasa kwenye swala la elimu hapa kwenye taifa letu.
MBONA MAFISADI WENGI WAMESOMA UDSM??????? SASA JE UBORA WA HICHO CHUO NI NINI????
Kwa upande wangu mimi naona chuo kikuu bora hapa ketu ni SUA, na kwa upande wa elimu ya nje na ya ndani huwa mimi naona elimu ya ndani ya taifa lako huwa ni bora sana kwa kianzio (graduates) kwani wapo watu ambao wamesoma vyuo vya nje ambavyo hata TCU bado haivitambui.

TCU hiyo inaitambua UDOM lakini haiitambui M.I.T, sasa hebu we mwenyewe do the math!!

Ukilinganisha elimu ya nchi na nchi utakuwa too general na jibu la uhakika hutapata bora ulinganishe chuo na chuo halafu course na course ukingalia vyuo vyetu nchi vingi vinatoa degree za arts na nvyuo vingi hasa vye serikali vinaendshwa na ssisasa hasa za kiCCm

nzima hakuna institute of tech inayoi-beat MIT[/QUOTE]

TCU ni kwa ajil ya university And Nacte kwa institute kama Mit

udom ina nin? NACTE ndo wanadeal na institute kama MIT..acha kukurupuka

hvi kwanza wewe unajua nin maana ya MIT au unaandka 2?

kwenye hili jukwaa la elimu michuano kuhusu chuo tuipunguze maana chuo kina course nyingi na sidhani kama zote zina hadhi sawa katika hivyo vyuo husika mfano kwa mzumbe BAF inakubalika,kwa UD b.com in finance inakubalika,kwa ardhi architecture inakubalika,muhimbili medicine na pharmacy zinakubalika.Kwahiyo kama unataka kutetea kitu tetea professional yako chuo utakiacha wewe utatoka pale na lnowledge.

Inategemea na nje ni nchi gan..bt me m2 aliyesoma india na malaysia haniwezi kwa lolote na elimu yangu ya kibongo bongo..flag natoa kwa graduates frm USA,UK na canada.
Utakubaliana na mimi nikikwambia kwamba Wahindi walio-graduate India ndio waliojaa Silicone Valley huko Califonia USA?.

Back
Top Bottom