Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wenye kutaka noa mbongo kwa mafunzo ya maprof wa vyuo vikubwa USA kupitia online bure.Hapa kuna cource za beginners na intermediary.Vyeti vinatoka kwa course ingawa kuna nyingine hazina vyeti kwa hiyo utaangalia mwenyewe.Hitajiko ni kubwa ni kuwa na access ya internet.Requiremenet nyingine uaelekezwa kwa cource husika.Labda kingine cha kuumiza ni vitabu kupata Amazon.Hapo kma huna unaweza tafuta online vya kudownload,au kama unaweza pata ktik libary pia sio mbaya.Amazon ni mojawapo ya sponsors kwa hivyo nao wamejiweka pa kula.
Kujiregister fuata hii link then nenda katik page, chagua course kadiri uwezavyo na kuhitaji, na kama unafikia vigezo vilivywekwa ili usijepata shida kuelewa mambo.kumbuka kuangalia tarehe zinapoanza na mud ahusika ili usijikute una masomo mengi zaidi ya ratiba yako kimaisha.
kamata hii link:
www.coursera.org
Otherwise.Tutegemee wachangiaji kuwa wajinga siku zote humu ndani.Na kuishia kudandia mambo wasiyoyajua wakitegemea watayajua kwa kubishana.Hii itawa frustrate wengine wanaojua na itapunguza ufanisi kwani, mamabo hayatajadiliwa kwa kiwango cha kutosha na fikra zitaishia kati ya uelewa wa juaye na asiyejua, n ahakuna wa kurekebisha uelewa wa mwingine.