Elimu Tanzania inasaidiaje wahitimu?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado wapo mpaka leo wanatafuta ajira,ukiuliza kwanini atakwambia anavigezo sasa elimu yetu itatusaidia nini?
 
Kwani ukisoma mpaka uajiriwe ndio ujue elimu imekusadia?Sisi Watanzania wenyewe ndio tuna "mindsets" mbovu na tumeharibiwa tangu tukiwa wadogo kwamba tunasoma ili tuajiriwe!Sasa inabidi tubadili haya mawazo kwa watoto wetu tutakaozaa!
 
Kujiajiri kunategemea umesomea fani gani, hebu niambie mf. umesoma(social science courses) e.g sociology au political science nk, unajiajiri vp.
 
Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado wapo mpaka leo wanatafuta ajira,ukiuliza kwanini atakwambia anavigezo sasa elimu yetu itatusaidia nini?

Mkuu hapa kwetu vigezo wanavyoweka wanaviandaa tu ili wapate njia ya kuwapa ajira watoto wa vigogo ambao ndo wanauwezo wa kuwasomesha nje pasipokua angalia madhara yanayoweza kujitokeza hapo baadae kwa hao wasomi wanaokaa mtaani pasipokuwa na ajira
 
Kwani ukisoma mpaka uajiriwe ndio ujue elimu imekusadia?Sisi Watanzania wenyewe ndio tuna "mindsets" mbovu na tumeharibiwa tangu tukiwa wadogo kwamba tunasoma ili tuajiriwe!Sasa inabidi tubadili haya mawazo kwa watoto wetu tutakaozaa!

Mkuu ni kweli ila angalia kwa upande mwingine ni wahitimu wangapi walio na uwezo wa kujiajiri? Nadhani hata 20% ya wahitimu toka vyuo vyote Tz hawafiki, walio wengi wanategemea kuajiriwa then ndo uwezekano wa kupata capital uwepo
 
Back
Top Bottom