Elimu na uelewa wa watangazaji wa clouds fm

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Wana jamii tafadhali naomba kufahamu kiwango cha elimu cha Kibonde na Regina wa clouds FM kipindin cha jahazi
 
Wana jamii tafadhali naomba kufahamu kiwango cha elimu cha Kibonde na Regina wa clouds FM kipindin cha jahazi

Humu JF huwezi kupata data sahihi kuhusu watangazaji hao. Nakushauri uende ofisini kwao uonane na meneja mwajiri wao atakupa wasifu wao. Lakini kumbuka kuwa WATU MAKINI SIKU ZOTE HUJADIRI MADA NA WATU WASIO MAKINI HUKAA NA KUONGELEA WATU WENGINE




Empty cans


Reverse of this statement is also true!!!
 
nIMEKUWA MSIKILIZAJI WA MUDA KIDOGO WA RADIO YA CLOUDS FM,NIMEPATA MASHAKA NA ELIMU NA UWEZO WAO WA KUCHAMBUA MAMBO.NIMEGUNDUA WATU HAWA WANASUKUMWA NA MTAZO BINAFSI NA SIO TAALUMA YA UHANDISHI.
NIKIANZA NA POWER B:HAPA UNAGUNDUA UTANI,MAPENZI YAKICHUKA NAFASI KUBWA NA HAWAPO TAYARI KUJIFUNZA WALA KUKOSOLEWA.

JAHAZI:HAPA NI JALALA MAANA MADAKTARI WAO,WACHAMBUZI WA SOKA WAO,MA MC WAO,MIPASHO WAO,SIASA WAO NA WANAJIFANYA WANAJUA KILA KITU,LUGHA ZA MATUSI,KASHFA NA MAJIGAMBO NA DHARAU YA KAZI ZA WENGINE.NISIWACHOSHE SANA.HUO MTAZAMO WANGU.
 
Biashara inafuata supply and demand, wanaprovide kile kitu ambacho watu wanataka kusikiliza usiwalaumu sana, hata hapa JF jukwaa la mapenzi mara nyingi linatamba.
 
Tujiulize je wa tz katika hali ya watanzania tunahitaji sana kusikia hayo?sina tatizo na mada zao,tatizo langu kwao ni uelewa wao na uchambuzi wao hauzingatii maadili ya uandishi,sijui nani kati yao ana elimu ya uhandishi au ni ma MC kuwa watangazaji?
 
Surname uko sahihi kaka, sidhani kama huwa wanamuda wa kuandaa vipindi nahisi mada hupatikana njiani
 
hata mm huwa siwaelewi hasa hawa wa jahazi wamepoteza uelekeo wamekuwa wambea mno kaka na madada zake afadhali power break f hekaheka na leo tena.
 
wanachonikera ni kujifanya wanajua kila kitu na kuchambua maswala yasiyowahusu,kuwakandia wasikilizaji wenzao na matusi juu,sujaipenda kabisa.
 
ndio maana wakaita jahazi! Pia kusikiliza kipinndi ni interest ya mtu, si lazma usikilize usichokipenda. Kuhusu taaluma ya mtu, hilo suala la muajiri na waajiriwa wake nadhani, kwani hapo ni biashara zaidi, kama staff watakua hawameet demand ya audiences nadhani owner ndio itakula kwake
 
Ni kweli kusikiliza kipindi ni interest ya mtu,lakini hiyo haimzuii mtu kukosoa.Kwa mfano uchambuzi wa magazeti watasoma kichwa cha habari then wanatengeneza story yao,sidhani kama ni sawa kimaadili.Pia swala la kuheshimu taaluma ni muhimu sana hasa kwa nchi zinazoendelea,leo tunamchukua dr.wa mifugo anakuwa mhasibu mkuu!!Inawezekana Cheap labour.
 
Imefikia stage naamini kuwa hiyo ndo radio bora na ina vpindi na watangazaji bora kabisa....!eeh! C'se kama sivyo kwanini usiwe kama mmang'ati aliyefuta clouds radio tangu oct'2010?.unatune mwenyewe inakuumiza umeng'ang'ania tu then unaleta malalamiko jf kila kukicha lkn bado huachi....!NI MTAZAMO TU MNIWIE RADHI NIKIWAKWAZA.
 
Naomba kujua elimu ya hawa watangazaji wa Clouds 360, wamesoma vyuo gani? Najiuliza hivyo maana discussions zao huwa ni za kama watu wa vijiweni wasiokwenda shule.

Anyway, labda kuna audience wanayoilenga ya viwango kama hivyo.
 
Mmmmh, kwa clouds huezi tafuta msomi ukampata.... Tusiwe wambea ktk hili. Hii ni media iliyojaa vijana wa bora tuongee tu.

Mkuu wa nchi aliwapgia simu kwa kuwa tu kuna kipengele walimsifia na si vinginevyo, Kama tujuavyo, hakuna mfalme asiependa kusifiwa
 
Back
Top Bottom