Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Habari yako Gaijin.....
Well said...
Mwanaume ni kiongozi....na kiongozi anapaswa kuwa juu....kuona mbali zaidi ya anaowaongoza......
Yap Mkuu, mwanamme kiongozi. Sasa mtu kila kitu mwanamke yuko juu, amani itapatikana kweli?!
Isitoshe kwa jamii za Kiafrika mke si wako peke yako, familia yako inakuwa ime-adopt mtoto. Hapo sasa! Bi dada akifanya dogo tu itakuwa anamuendesha mumewe kwa sababu kasoma.