Elimu inayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini inawaandaa wahusika kujiajiri au kupata ajira?

Agrodealer

Senior Member
Mar 19, 2011
107
11
Hili lilikua swali la kipima joto na lilinikera sana. Ina maana wazir wa elimu, maprof madr., ma waalimu wetu haina mana kuwa nao basi ka haikidhi. Ni hayo tu ndugu wadau mliosema (hapana) japo maswali mengine yanabor
 
Kaa na ufikir upya kabla ya ku2letea thread yk so in short CJAKUELEWA HATA KDOGO
 
Ungekuwa karibu ningekutandika kelebu. Upuuzi gani huu unaoandika. Jipange urudi tena upya.
 
Heading yako ilikuwa inaeleweka na inamantiki,ila heading pekee haitoshi kwa wanajukwaa kutoa michango yao,JIPANGE TENA.
 
Back
Top Bottom