Elimu bure, matibabu bure kuanzia kilimanjaro 2010-2015

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Kwa kuwa chama cha CHADEMA ndicho kilichopata viti vingi vya ubunge na udiwani ktk mkoa wa kilimanjaro, na kwa mujibu washeria za nchi yetu CHADEMA ndio watakaounda serikali ya mkoa huu kwa hiyo ni moja kwa moja kuwa ILANI ya chama itaanza kutekelezwa mkoani kilimanjaro, kwa hiyo ni mategemeo yangu kuwa elimu na hospitali zitakuwa ni bure, labda kama nimekosea mwenye uelewa zaidi anipe mwongozo.
 
ni kweli chama fulani kikipewa uongozi wa halmashauri inawezekana kutekeleza sera zake. Mfano karatu walipoanza kupunguza kodi ya kichwa then wakaifuta kabisa kinyume na halmashauri zingine zilizokuwa chini ya CCM. Pia Karatu walifuta siku nyingi ushuru wa baiskeli na pikipiki kama sera za CHADEMA. so kama wakijipanga na kuona feasible kuitekeleza katika jimbo moja watafanya. Ila lazime utambue yapo mengi ndani ya sera ya CHADEMA si la elimu na afya bure tu so yapo mengi yanayotekelezwa pale Moshi mjini kama sera za CHADEMA zilivyo. Na tunatarajia Kigoma kuwa Dubai na Mwanza kuwa Amsterdam plus nyumba 100 bure za waathirika wa mafuriko kule kilosa ba bajaj 400 kule............
 
Yeeee eee! Na maji Dar es Salaam hadi mafuriko! Major upo?
 
Kwa kuwa chama cha CHADEMA ndicho kilichopata viti vingi vya ubunge na udiwani ktk mkoa wa kilimanjaro, na kwa mujibu washeria za nchi yetu CHADEMA ndio watakaounda serikali ya mkoa huu kwa hiyo ni moja kwa moja kuwa ILANI ya chama itaanza kutekelezwa mkoani kilimanjaro, kwa hiyo ni mategemeo yangu kuwa elimu na hospitali zitakuwa ni bure, labda kama nimekosea mwenye uelewa zaidi anipe mwongozo.
wakiruhisiwa kukusanya kodi na utalii wa mlima wataweza kujenga hata flyovers kwenda kili. Summit
 
Nipo, ina maana kodi zote za mji wa moshi ni za chadema kwa sasa? kama ni hivi basi kwa kuwa sina wasi wasi na utendaji wao basi nina imani hayo ya elimu na hospitali yanawezekana
 
Heshima Mkuu
naona umeingia kichwani mwangu kabisa, Chadema watafanya mabadiliko ya uongozi na kutoa urasimu kwa baadhi ya maeneo, lakini hilo la kutoa Elimu na Matibabu Bure ni gumu sana, ni gumu kwa sababu Chadema haitakusanja Kodi, na kama whatakuwa na fedha za kodi hawataweza kutimiza hizo ahadi
hizo zingewezekana tu kama Dr Slaa angeingia madarakani
 
Nipo, ina maana kodi zote za mji wa moshi ni za chadema kwa sasa? kama ni hivi basi kwa kuwa sina wasi wasi na utendaji wao basi nina imani hayo ya elimu na hospitali yanawezekana

Jamani kodi inakusanywa na TRA na sio chadema.
 
wakiruhisiwa kukusanya kodi na utalii wa mlima wataweza kujenga hata flyovers kwenda kili. Summit

kweli aliyenacho huongezewa, sasa huko si ndiyo nasikia mpaka sasa wanaongoza kielimu,je wakipewa tena na ya bure itakuwaje?
 
Usijali itakuwa vizuri zaidi tu! Na kila kata itakuwa na hospitali ya hadhi ya Willaya ili zile teule za JK katika wilaya zipate justification!
 
Jamani kodi inakusanywa na TRA na sio chadema.

Ni kweli kodi zinakusanywa na TRA lakini kuna mapato ambayo huwa yanabaki halmashauri, na ujue pia ktk ule mgawanyo wa mapato kimkoa nayo yanaingia ktk serikali za mikoa, that means, hayo yote yataangukia mikononi mwa CHADEMA maana wao ndio wanaounda serikali ya mkoa, kisheria
 
Vp mkuu, una matatizo na hilo?

sina tatizo lolote na hilo mkuu, ila tu ninachoomba CHADEMA kwa kuwa wameshafanikiwa kuwakomboa wananchi wa mikoa ya kaskazini basi moto huo huo wauendeleze ktk mikoa mingine iliyokufa, kama TABORA, TANGA, LINDI,SINGIDA DODOMA PWANI MOROGORO NK
 
Nacho tambuwa ni kuwa viongozi waliopo madalakani watafanya kazi kwa kutekeleza sera na mtakwa ya serikali iliyopo madarakani,sijui kama kunamabadiliko juu ya hilo nipo mbali na nchi, labda mnijulishe kama kunamabadiliko

mapinduziiiiiii daimaaaaaaa
 
Kwa kuwa chama cha CHADEMA ndicho kilichopata viti vingi vya ubunge na udiwani ktk mkoa wa kilimanjaro, na kwa mujibu washeria za nchi yetu CHADEMA ndio watakaounda serikali ya mkoa huu kwa hiyo ni moja kwa moja kuwa ILANI ya chama itaanza kutekelezwa mkoani kilimanjaro, kwa hiyo ni mategemeo yangu kuwa elimu na hospitali zitakuwa ni bure, labda kama nimekosea mwenye uelewa zaidi anipe mwongozo.
umekosea mkuu. pamoja na kuwa ni kweli chadema imepata wabunge na madiwani wengi lakini hakuna kitu kama serikali ya mkoa. chama cha siasa kinaweza kuongoza serikali kuu au serikali za mitaa(halmashauri) hakuna kitu kama serikali ya mkoa.hata hivyo sera ya elimu ni ya kitaifa zaidi na unajua kabisa mapato makubwa ya serikali za mitaa ni ruzuku kutoka serikali kuu kwani serikali kuuza ndiyo inayokusanya kodi ya mapato, fordha nk ilhali serikali za mitaa hukusanya ushuru mdogo mdogo. kwa hiyo itakuwa si rahisi kwa chadema kutekeleza sera zake moja kwa moja kwenye halmashauri inzoziongoza ingawa inaweza kutafuta namna ya kuongeza mapato ya halmashauri. anyway uwezekano wa chadema kufanya vizuri ni mkubwa hasa ukizingatia matumizi mazuri ya mapato ya halmashauri na ubunifu na ukusanyaji wa mapato ya halmashauri hivyo kwa namna nyingine wanaweza kufanikisha hilo. i am confused
 
Ni kweli kodi zinakusanywa na TRA lakini kuna mapato ambayo huwa yanabaki halmashauri, na ujue pia ktk ule mgawanyo wa mapato kimkoa nayo yanaingia ktk serikali za mikoa, that means, hayo yote yataangukia mikononi mwa CHADEMA maana wao ndio wanaounda serikali ya mkoa, kisheria

what is this
 
Nipo, ina maana kodi zote za mji wa moshi ni za chadema kwa sasa? kama ni hivi basi kwa kuwa sina wasi wasi na utendaji wao basi nina imani hayo ya elimu na hospitali yanawezekana

Ushamba ama mshamba?
 
Ni kweli kodi zinakusanywa na TRA lakini kuna mapato ambayo huwa yanabaki halmashauri, na ujue pia ktk ule mgawanyo wa mapato kimkoa nayo yanaingia ktk serikali za mikoa, that means, hayo yote yataangukia mikononi mwa CHADEMA maana wao ndio wanaounda serikali ya mkoa, kisheria

Sio mkoa ni HALMASHAHURI, na kawaida nijuavyo mimi ni kuwa HALMASHAHURI ikikusanya zaidi ndivyo itakavyopata zaidi kutoka serekali kuu, sasa basi naamini kwa kuwa HALMASHAHURI NI YA CHADEMA, nategemea vyanzo vipya vya mapato na pia kuongezeka kwa makusanyo kwani naamini VITEGA UCHUMI VINGI VYA CCM NA WANA CCM vilikuwa havilipi KODI na kuanzia sasa ni lazima vilipe na kama inawezekana walipe hadi MALIMBIKIZO YA NYUMA WAKISHINDWA VIPIGWE MNADA.
 
Ndugu angalieni tusiweke ukabila, kinachotakiwa ni kwamba elimu bure iwe kwa watanzania na si Kilimanjaro, kumbukeni kodi zote za watanzania zisaidie watanzania wote, Tukiungana pamoja twaweza daima.

Tuhimizane kuwa na maendeleo kwa wote maana watoto ni wetu sote, Kenya wameweza kwanini sisi tusiweze?
 
Back
Top Bottom