Electrical Engineers kujadili tatizo la Umeme

Wanatafuta tenda tu hao walikuwa wapi mpaka nchi iko gizani ndio wanajidai kuja na hoja uchwaraaaa embu ondokeni huko musituudhi kwa kutafuta sifa tuu
 
Japo mjadala umechelewa lakini kuna umuhimu wa kufanya hilo kongamano.

Kwa kuwa ni mjumbe, natarajia kuhudhuria.
1. Nitapenda kufahamu master plan ya taifa ya masuala ya nishati na mpango wa utekelezaji wake.
2. Nitahoji sababu za kitaalam za kutochukua hatua haraka kukabiliana na mgao licha ya tatizo kufahamika miaka mingi ilopita.
 
Back
Top Bottom