Electrical Engineer wa kujitolea

ahahahaa...MKUU NAONA KAMA UNATANIA...hivi nikikupa kazi mwisho wa mwezi itakuwaje??...na familia yako unaiaga unaenda kazini mara safari site sumbawanga unarudi after 5 days na mwisho wa mwezi mama anakuangalia tuu mzee wa ku-voluntia"???... sema bei yako bana acha masikhara. KAZI BILA MSHAHARA NI NGUMU KIDOGO.
hahaahahaha who cares? mkuu sumbawanga si kuna posho. Siyo kwamba sitaki malipo bali niko tayari hata kwa kujitolea mazee
 
Mhandisi hebu nenda Mollel Electrical Contractors pale kinondoni msese; au Derm Electrical Contractors pale Derm house kijitonyama (Hao ni First class Electrical contractors), natumaini ukijieleza vizuri utapata nafasi au utapata direction from there. Jaribu pia CSI na DB Shapriya;kwa mtu mwenye background ya umeme wa viwandani inaweza kukufaa,hawa jamaa wanafanya sana construction ya industrial buildings (Electrical installation part).
Goodluck kipipili hope huna kipipili (if you know what I mean)
 
Last edited by a moderator:

asante mkuu kwa maelekezo. sina kipipili kabisa.
 
Nakushauri nenda ERB ukajisajili kama Graduate Engineer (inayopatikana within 3 months tangu uombe, kama hakuna mabadiliko). Then ukishapata registration, apply kuingia katika programme moja inayoitwa SEAP, huko utakuwa na uwezo wa kupokelewa na makampuni mengi tu ukiwa kama mhandisi aliye field training. Ukiona umepata uzoefu wako, unaweza kusepa, au unaweza ukaamua kumalizia SEAP ili ku-upgrade status yako ya ERB registration.
 
asante, nilishasajili graduate zamani kidogo sasa hivi niko kwenye mchakato wa professional.
 
MIMI NI ENGINEER KAMA WEWE NAMAANISHA ELECTRICAL, NI CONSULTANT NIMEREGISTER LEVEL ZOTE ZA ERB, NIMEFUNGUA KAMPUNI YA CONSULTING KWENYE UMEME NATAKA SANA WATU WA AINA YAKO NIWAFUNDISHE KAZI ZA DESIGN NA CONSTRUCTION ILI TUJIPANGE KUPIGA KAZI, TATIZO HUJAWEKA NAMBA AU EMAIL MI NAPATIKANA KWA NAMBA 0718 754 694 AU gearedconsult@gmail.com . KAMA NI KWA KUJITOLEA MI NIPO TAYARI KUKUPA SUPPORT
 
Jamiiforum ya miaka michache iliyopita! Hakukuwa na majibu ya hovyo kwenye mambo ya msingi. So cool....I like it.
 
Back
Top Bottom