Katika coz hizi zna kazi nyingi?
Hakunaga, inategemea uhitaji. Kwa mfano Manji anaanzisha kampuni ya simu itakayoitwa MYCELL, kwa hiyo lazima atahitaji wajuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo mitandao ya simuKatika coz hizi zna kazi nyingi?
Nyingi balaa!!Katika coz hizi zna kazi nyingi?
Bado wa kusoma huyu mkuu!Mbona thread haieleweki?
These are more practical, you can easly employ yourself. Unaanza na meter, kile kidudude cha kuchomelea na risasi and a few srewdrivers and spanners!
Civil engineering ndo rahisi kujiajiri