Elections 2010 Election Time Again, 2010

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
71,272
105,471
It's election time again, two thousand and ten
It's treason season again, democracy bargained
Conspiracy charging, voters chagrin
Mandarins and pretenders babbling margin while margarining
The malnourished still starving, more politicking than Garvey
This bus has no driving, everybody jiving
While infant mortality competes with police brutality
We're poor, can't keep the hospital fee nor hospitality
The feudal shogunate, a magnet for magnates
Who stagnate the pace in the place with pure madness
I mentioned treason, It's like a free zone
Some of these candidates should be locked in prison like Lil Weezo
They're polluting the air like dirty diesel
With pretentious claims while we know they ain't got game
Lame is their name it's a damn shame, they can't even frame
The issues, one punch at ‘em and they are looking for a tissue
Crybabies and wannabees to me and Tundu Lissu
To certain parties, here's advice gratis
We want some strong minded sisters, possibly literati
With minds fast like Maserati, can ride miles here to Babati
Not some picaninny with no merit
And nothing to narrate
And a diction I rate as irate
Exposure zero, a temper like Nero
Prima Donna Xeroxed, with minus dinero
While voters alooking for a hero
It's like we need prayers from Rev. Masanilo !

We've had, drug addicts and sellers
And all manners of hellraising yellers
Of questionable characters fellows
Who rightfully belong in gaol cellars
Left conversating with jailers
With no parole or bailout
But the dilapidation of my nation
Got a backflipping fascination with evil as a qualification
So now we don't even know who to trust
So it's a must that I bust with some blasts from the past
The stupid acocksure, while intelligence doubts
Sitting on the side, in a Socratic bout
While the violent usurpers are salivating for supper
And all the Mad Men are acting dapper than Drapper
Selling us a mani-festo, more like manure-festlove
The King is naked and we've seen his "tasty-clothes"
The ruling party is partying with no opposition
Winning by fiat, without real positions
Civil Society is really civil
Wouldn't bat an eyelid at the choir lead cause that's evil
Democracy ? Failed electocracy
Controlled by a fake aristocracy

And to the real soldiers in the race, don't lose face
Let's start a revolution and the old chapter erase
Here's what I tell you prospective MP's
Go on with the good fight be all you can be
It wasn't that hard, in fact not at all
It wasn't that bad, to make the call
And name your name, for a proper game
It wasn't a chore, to settle that score
The ambition of my mission was to move doubts and suspicions
That your person was just fishy and of questionable dispositions
Now that is past, look ahead to the tasks
it's not a blast, it's a heavy thing to be asked
See the euphoria over you being a courier
Should never cloud your judgement in your new career
What career? We are just campaigning
And as everybody knows it ain't Champaigne-ing
Stay ever hungry, ever winning the people
Focused on the issues, ever strong not feeble
And there's much to learn, so you gotta ask questions
Always make the quorum, when you're expected in session
If at first you don't succeed due to some bad seed
Dust yourself up and take care of the weed
Not the smoke silly, the crowding empty calories
Strategize, even by moves in art galleries
A mind is a terrible thing to waste
And this stimulation ain't from cut and paste
So be original, and contribute something new
And don't get mixed up in the current stinking brew
Confidence is key, but it comes at a fee
You gotta know your subject well beyond a formal degree
And no improper use of the right pedigree
Hit your points home and feel free to spreee
A lot of them on the race lack humility
Make that the rock of your stability, the well of your ability
But don't be a doormat, that ain't fat, in fact it's wack flat
Just get them where it hurts and show 'em what you got
The war chest must manifest,
You're clearly invested in the race and the rest is your best
Don't compromise core principles for economic gains
They'll get you again and again til you're nothing but a bargain
So on this eve of this momentous election
I believe in your triumph, more than just a honorary mention
 
kiranga says;
...Selling us a mani-festo, more like manure-festlove
The King is naked and we’ve seen the testi-clothes...








...to the effect that he sacrificed His only begotten R-1,
so that those who believe in His lies,
Can receive the royal knighthood...
 
kiranga says;

...Selling us a manifesto, more like manure festival
The King is naked and we've seen the testicles...

Umemuona watcher watching you tayari?

Hizo haziitwi "testicles" zinaitwa "tasty-clothes", ohooo, shauri yako :)
 
Umemuona watcher watching you tayari?

Hizo haziitwi "testicles" zinaitwa "tasty-clothes", ohooo, shauri yako :)




nilikuwa najaribu kuoanisha na ile nukuu ya jenerali:

“mfalme yu uchi, na korodani zinaonekana

kumbe ulikuwa unazungumzia tofauti kabisa. hongera kwa kunipiga chenga ya mwili.
 
nilikuwa najaribu kuoanisha na ile nukuu ya jenerali:

"mfalme yu uchi, na korodani zinaonekana."

kumbe ulikuwa unazungumzia tofauti kabisa. hongera kwa kunipiga chenga ya mwili.

Sanaa tu kama Galileo ili mapapa wasinitupe kwenye tundu la Simba.
 
Filling Slaa's Shoes in Karatu
By Mussa Juma (Arushatimes)

Thousands of Karatu residents this week turned out to meet a new CHADEMA candidate for the Karatu parliamentary seat left by the former and out spoken legislator Dr Wilbrod Slaa, who was also a former cleric before turning to politician.

Dr Slaa left the Karatu seat contest this time around after opting to vie for the Presidency of the United Republic of Tanzania on the CHADEMA ticket .

The new CHADEMA parliamentary candidate Israel Yohana Natse is at present the North-west Diocese-Karatu province pastor in charge of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania.
The residents received Natse at their traditional welcome point, the Manyara Rift Valley escarpment 20kms East of Karatu.

They came in a motorcade with motorcycles and bicycles outriders to show their full support of the new contestant who they then led to Karatu football pitch where he officially picked the CHADEMA nomination forms.
629%20slaa%20shoes%20pic.bmp

Soon after picking the forms NATSE said he had come to politics on request of the incumbent MP who had made remarkable record in the development of the District.

He said that a lot of people including CHADEMA'S National Party Chairman Freeman Mbowe and the MP for Moshi Philemon Ndesamburo made him make his mind to contest. Natse believed he could ‘walk' in Dr Slaa's shoes as he also fully understood challenges facing Karatu people.

Plans he had in mind include building a Karatu University, a Nursing College and a Teachers Training College.


Natse has a master degree in Theology that he attained in Finland. He also attended Makumira theological college where he .attained a bachelors degree Karatu constituency was represented by Dr Slaa for
15 years since 1995.
 
I hope he wins this crucial seat and CHADEMA increases its parliamentary seats.
 
Kiranga Asante kwa mistari.......

Ila kuna sehemu kwenye ujumbe kaa hujautoa katika wakati muafaka hivi!

Wagombea tushapelekewa majimboni wewe ndo unakuja na sifa za anaepaswa kusimamishwa jimboni! Labda tuzitumie 2015
 
Kiranga Asante kwa mistari.......

Ila kuna sehemu kwenye ujumbe kaa hujautoa katika wakati muafaka hivi!

Wagombea tushapelekewa majimboni wewe ndo unakuja na sifa za anaepaswa kusimamishwa jimboni! Labda tuzitumie 2015

Thanks,

Ingekuwa vizuri zaidi.

Unaweza kutumia sifa hizo kuchagua wa kumpigia kura kati ya waliopendekezwa na vyama tofauti. Kura si zinapigwa Oktoba ?

Watanzania wengi hawana vyama na hivyo hawana msemo katika mchakato wa vyama kutangaza wagombea wake (private candidates anyone ?) . Lakini bado wana kauli katika uchaguzi mkuu kuamua nani awe mbunge.
 
Hapo utatupa tabu wapiga kura

Who to vote for when we have a Ccm candidate who is a bit better than the opposition candidate?!

Mind you the key word is 'a bit'. :)
 
Hapo utatupa tabu wapiga kura

Who to vote for when we have a Ccm candidate who is a bit better than the opposition candidate?!

Mind you the key word is 'a bit'. :)

Do you cast your vote for the party or for the person?
 
Do you cast your vote for the party or for the person?

Mimi kama mimi nadhani napigia kura sera zaidi kuliko mtu.
Hata hivyo nisingependa kuwakilishwa bungeni na mtu asiyeoneka kuweza kutekeleza sera ninazozikubali za chama chake.

Lakini watanzania wengine wanapiga kura kufuata nini?

Sera, mtu, jina, au sura?
 
Mimi kama mimi nadhani napigia kura sera zaidi kuliko mtu.
Hata hivyo nisingependa kuwakilishwa bungeni na mtu asiyeoneka kuweza kutekeleza sera ninazozikubali za chama chake.

Lakini watanzania wengine wanapiga kura kufuata nini?

Sera, mtu, jina, au sura?

Sasa kwa mfano uta reconcile vipi endapo CHADEMA wanakuwa na sera nzuri (kwa mtizamo wako) halafu wanaweka mgombea bomu?
 
Hapo ndipo hii kitu inanichanganya......:(

Itanibidi niibuke na rating system hapo.
kila kipengelea kiwe na points zake..

Wagombea wakiwa na points sawa tunaweka bonus points kwenye sura na kivazi :p
 
Sasa kwa mfano uta reconcile vipi endapo CHADEMA wanakuwa na sera nzuri (kwa mtizamo wako) halafu wanaweka mgombea bomu?

Hahaha,

Hii mifano mingine inayorandana sana na ukweli inatatanisha sana.

You already know...

Mimi naangalia kwanza sera, halafu mgombea. Ila kama alivyosema Gaijin, inabidi kuwa na ka rating system, mana sera zikiwa nzuri halafu mgombea bomu hata hawezi kuzitekeleza, mara nyingine bora chama kikiwa na sera hafifu na mgombea mzuri unaweza hata kupata matumaini kwamba mgombea anaweza kushawishi a change of priorities. Which busts my "institutions over individuals" philosophy in some senses, but by aiming at building better institutions.
 
Umeona eee.........mfano kama uhalisia wenyewe kwenye baadhi ya majimbo!
 
It's a tough call I tell you.

Labda tatizo ni

The stupid acocksure, while intelligence doubts
Sitting on the side, in a Socratic bout

Kama tunatimiza msemo wa Socrates, kwamba "wenye uwezo hawataki kuongoza, na wanaotaka kuongoza hawana uwezo" inakuwa vigumu sana kulaumu wasio na uwezo wanaotaka kuongoza.
 
Tushajiuliza kwa nini wenye uwezo hawataki kuongoza ?

Ni kwa kuwa hawajijui kuwa wana uwezo?

Jukumu liko kwa vyama kuwa scout watu wenye uwezo mapemaaaa kabla hata dalili ya uchaguzi haipo kuingia chamani.

Kama vyama vinashindwa kubeba jukumu hilo vinaweza kubeba jukumu gani?
 
Tushajiuliza kwa nini wenye uwezo hawataki kuongoza ?

Ni kwa kuwa hawajijui kuwa wana uwezo?

Jukumu liko kwa vyama kuwa scout watu wenye uwezo mapemaaaa kabla hata dalili ya uchaguzi haipo kuingia chamani.

Kama vyama vinashindwa kubeba jukumu hilo vinaweza kubeba jukumu gani?

Wenye uwezo hawataki kuongoza kwa sababu wanaelewa kwamba, licha ya ukweli kwamba uongozi ni mzito almost popote, ni mzito zaidi kwenye nchi masikini pasipo sera wala mfumo, na mtu kuja kubadilisha mfumo ni vigumu. Ndiyo maana hata Nyerere alsiema "Ikulu ni mzigo, ni mgogoro, mtu safi kabisa hupakimbilii". Nyerere was borrowing from this Socratic reasoning. Sasa ukizidisha matatizo ya umasikini kwenye mgogoro huu, watu wenye uwezo wanaona longolongo nyingi zitawaharibia peace of mind yao bila ya kuleta mabadiliko ya maana. Kwa mtu ambaye anataka kuongoza hasa, na sio kutafuta ukubwa tu, suala la kujiingiza katika uongozi wa siasa -hususan siasa za uchaguzi- ni suala gumu sana ambalo uamuzi wake hauwezi kufikiwa kirahisi. Ndiyo maana nawashangaa wanaorukia ubunge kama kazi ya kuuza juisi ya ukwaju, wanaelewa maswali na maswala magumu yanayotukabili ? Wanajua uwezo unaotakiwa kuyatatua? Au ndio kama wanavyotuambia "ubunge si kitu cha ajabu, mtu yeyote anaweza kuwa mbunge"?. No wonder tupo tulipo.

Mathalani, si siri kwamba ili kuwa mbunge -hususan kutoka chama twawala- ni lazima utumie rushwa na kutoa ahadi za uongo, hii ni given. Sasa kuna watu wengi wana uwezo lakini wanaona hawawezi ku sacrifice principles zao na kujiingiza katika rushwa na kudanganya.

Sasa hapo unakuta kuna vultures kibao wasio na principles wako tayari kutoa rushwa na kukuambia watakuletea barabara za angani, mwisho wa siku unakuta wagombea wote wasanii na wenye uwezo wa kuongoza washajichokea.
 
Vigezo vya mwenye uwezo ni vipi? Kila anaegombea anajiona anao uwezo wa kutumikia wananchi na ndio maana akachukuwa uamuzi huo.
 
Back
Top Bottom