Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,267
- 105,437
Kwanza rais si kazi yake kutafsiri sheria, katika mihimili ya state muhimili wenye kazi ya ku interpret sheria ni judiciary, na judiciary imesema mgombea binafsi ruksa, halafu kuna huu utumbo mwingine unakuja hapa kwamba michango yote ni lazima itoke chamani.
Rais anatuma ujumbe kwa mahakama kwamba hajakubali suala la mgombea binafsi kuruhusiwa kugombea nafasi za uongozi? Kama anaheshimu maamuzi ya mahakama mbona anajitwika kazi isiyo yake ya kutafsiri sheria? Mbona anaboronga kwa kulazimisha michango itoke vyamani wakati mahakama inasema mgombea binafsi ruksa?