Election day

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
Mi naskia raha isiyo kifani kwa siku hii njema...
Jumapili ilo njema kwetu watanzania....

Siku tuloisubiri kwa hamu na kwa uwezo wa mola imeingia....

Amkeni kaka na Dada inukeni vitandani mwombeni mola aweze jaalia....

Siku mpya ya kujenga na kupanga yajayo ni uchaguzi umefikia....

Wapo walolala na kuamka na walolala na sasa asubuhi yakaribia kufika....

Mtihani huu wa Taifa masomo tulopata yatutosha, nakuombeni nyote maswali ya majibu kuyakumbuka.....

Majibu yetu yawe yale Halisi na Rahisi...

Tumchague yule tumpendaye, aaminikaye na tumtegemeaye

Tafadhali Watanzania wenzangu nakuombeni.

Mungu ibariki Afrika' Mungu ibariki Tanzania'

TUMCHAGUE RAIS.
 
Slaa kwa kishindo
 
Amina.
 
........Nafuu election day imefika, Mungu tujalie uzima tuweze kwenda kupiga kura hapo asubuhi.
 
Mungu tubariki watanzania tuweze kumchagua Rais wetu Slaa kimbilio la wanyonge
 
Back
Top Bottom