Election 2010

norbit

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
835
699
Kama ungelikua ni mwenyekiti wa chama chochote cha upinzani na unadai kama una wawakilisha au unapigania haki za wanyonge (walalahoi) walio wengi tanzania, na chama chako kikafanikiwa kupata asilimia kubwa 40% katika kambi ya upinzani, na ccm kama kawaida ikaongoza kwa kama 55%. na wakakutaka muunde serikali ya mseto, (ccm kushirikiana na chama chako). Jee utakubali ? na kama utakubali au kukataa, kwa nini?
 
Back
Top Bottom