Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
Mkuu kama JK akiamua kikamilifu hakuna cha kumwaga damu wala nini hata kama yeye amechafuka. Akitumia mamlaka yake yote ya Urais na Serikali, no body can question him anything na kuna baadhi ya sheria na hata katiba vinampa nguvu ya ajabu.
A one million dollar question ni kuwa: Je ataweza? can hes JUST DO IT?
Ninavuta fikra namuona Hitller,Mussolin,Mobutu,Frangoiz,Fujimor,Idd amin na Dola ya Rumi moja ya tawala ngumu kabisa zilizopata kuwepo duniani! Pembeni naziona ALAMA ZA NYAKATI ambazo kiongozi mkuu ni MUNGU!! Je ccm itazishinda alama za nyakati? na je tayari zishafika? Jibu lipo kwa waungwana na wenye MAONO!!!!!!