EL:jeshi lipo tayari kuingia vitan;JK: Nchi haina mpango wa vita

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
katika mzozo wa Tz na Malaw,kuna mengi yalisemwa na watu mbalimbali. Alianza EL akiwa bungeni akaita waandish wahabari na akatangaza kwamba jeshi liko tayar kwa vita,wik kadhaa badae JK akiwa msumbiji akatamka kwamba tz hatuna mpango na vita.
Ninashidwa elewa nani ni nani hapa Tz.au ndo freedom of speech,au mzee wa mvi anapiga zoez kujiandaa kumbadil kiungo wa kati JK?
 
Kwani wewe hujui kuwa kuna vita kali sana kati ya EL na JK?
Kikwete kasema, yeye ndio amiri jeshi mkuu. Wanaotoa kauli za kutaka vita ni WAPINZANI WANAOTAKA KUJIPATIA UMAARUFU WA KISIASA.
Lowassa anaitaka ikulu kwa gharama yoyote
 
Sasa tatizo lipo wapi ? Mamvi amesema kweli kuwa Jeshi letuy lipo tayari kuingia vitani akimaanisha kuwa wakati wowote ule ,wachilia mbali malawi hata kwengineko ,hili linawapa faraja WaTz kuwa chombo chao cha ulinzi kinaweza kuitwa kwenye call of duty anytime na wakaengage ,sio kutafutana ,uimara wa jeshi letu ikiwa ni kweli basi ni wakufagiliwa sana tu.

Ila wale wazamiaji wanaokatiza crosscountry na kutokea Mbeya wakitokea Ethiopia na Somalia ndio wamelifanya jeshi linalosema linalinda mipaka kuwa dhaifu ,unajua bunge linaweza kutekwa na alshabab na kuteketezwa ! maana hawa wapita njia kama ni vikosi vya kazi wanaweza kujikusanya Dodoma wakipita kwenye mipaka iliyowazi na upenyo na kuambush bunge. Kama nawaona jinsi vitumbo wale wa dodoma wanavyoenda mbio.
 
msipotoshe kauli ya EL jana kafafanua vizuri tu katika kipindi cha dak 45 itv,
 
Kwani wewe hujui kuwa kuna vita kali sana kati ya EL na JK?
Kikwete kasema, yeye ndio amiri jeshi mkuu. Wanaotoa kauli za kutaka vita ni WAPINZANI WANAOTAKA KUJIPATIA UMAARUFU WA KISIASA.
Lowassa anaitaka ikulu kwa gharama yoyote

Ninavyojua mimi EL ndo amri Jeshi
 
wana ccm kila mtu akiamkaa anasema maneno yake mwenyewe
badae utaskia kauli ya nape oooh jeshi liko kwenye mazoezi makali hawana mawasiliano
maranyingi hawamaanishi wanayoropoka kwenye vipaza sauti hahahah
 
Hapo kwenye red nimecheka sana,siku yangu imeanza vizuri
 
ccm kila mtu ni msemaji kwa niaba ya serikali, ivi waziri wa habari analipwa mshahara kwa kazi gani ya maana anayofanya? Au ni ceremonial minister?
 
hahahahah ukiangalia ni kweli wanasemaga tu mara utamsikia huyu kasema hili kwenye tv hii badae utasikia huyu tena kasema kauli hii kwenye tv hii sijui blablabla in short hawamaanishi wanatafuta publicity shame on them...
Hapo kwenye red nimecheka sana,siku yangu imeanza vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom