BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,020
- 8,480
Droo si mbaya mmejitahidi ntaenda hata kigoma tuu kwa siku kadhaa
Mmebebwa
Droo si mbaya mmejitahidi ntaenda hata kigoma tuu kwa siku kadhaa
Real Madrid hapa,wala sina mashaka kabisa.
Barca lazima alale.
Majukumu aliyopewa mascherano ni makubwa kuliko uwezo wake
Sijajua ila tumeshinda nyingi kuliko nyiehadi now mmeshinda clasico ngapi?
Kipindi cha pili mjilaum wenyeweMmebebwa
Sijajua ila tumeshinda nyingi kuliko nyie
We jamaa Clib zilianza miaka ya 1930 we unaleta data za toka mwaka 2010!!!Barchelona 10 wins/Madrid 8 wins
Tumedroo mara 9....
We jamaa Clib zilianza miaka ya 1930 we unaleta data za toka mwaka 2010!!!
El classico imechezwa mechi nyingi zaid ya hizo
Barchelona 10 wins/Madrid 8 wins
Tumedroo mara 9....
hah hah hah we jamaa bana...
hebu tupe matokeo full
Matokeo ya lini mkuu?
ya el clasico tangu kuanzishwa...
Sawa sawa mkuu...hiyo nimeweka ni ya-kwanzia 2010.
kwanini?
League matches
Real Madrid wins 72
Draws 33
Barcelona wins 68
Real Madrid goals 281
Barcelona goals 274
Total matches 173
Copa del Rey matches
Real Madrid wins 12
Draws 7
Barcelona wins 14
Real Madrid goals 64
Barcelona goals 63
Total matches 33
League Cup matches
Real Madrid wins 0
Draws 4
Barcelona wins 2
Real Madrid goals 8
Barcelona goals 13
Total matches 6
Spanish Super Cup matches
Real Madrid wins 6
Draws 2
Barcelona wins 4
Real Madrid goals 25
Barcelona goals 17
Total matches 12
UEFA Champions League matches
Real Madrid wins 3
Draws 3
Barcelona wins 2
Real Madrid goals 13
Barcelona goals 10
Total matches 8
Summary of all competitive matches
Real Madrid wins 93
Draws 49
Barcelona wins 90
Real Madrid goals 391
Barcelona goals 377
Total matches 232
Friendlies and other matches
Real Madrid wins 4
Draws 10
Barcelona wins 19
Real Madrid goals 42
Barcelona goals 83
Total matches 33
Summary of all matches
Real Madrid wins 97
Draws 59
Barcelona wins 109
Real Madrid goals 433
Barcelona goals 460
Total matches 265