El Clasico: Maswali muhimu kuelekea katika pambano la Barca na Madrid...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
Mchezo kati ya klabu ya Barcelona dhidi ya Real Madrid umewadia. Mechi hii yenye mvuto kwa ulimwengu wa Soka inatarajiwa kupigwa kwenye Dimba la Nou Camp majira ya saa kumi na mbili na robo jioni ya leo.

Hu ni muda muafaka wa kukumbushana mambo yaliowahi kuleta mvuto wa kipekee kwenye game ya El Clasico.

Kwa kuanza tu basi ni jambo la muhimu kuulizana maswali ambayo yanaweza kuleta changamoto haswa kwa familia ya Soka.

1. Ni nani anaeshikilia rekodi ya kufunga goli huku akiwa na umri mdogo zaidi katika historia ya El Clasico?

2. Je unamfahamu mchezaji anaeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi katika historia ya mechi za El Clasico?

3. Ni golikipa gani wa Real Madrid alikuwa wa mwisho kuondoka kwenye uwanja wa Camp Nou bila kuruhusu goli? A. Iker Casilas B. Cesar C. Navas D.

4. Yapi ni matokeo yaliojirudia zaidi kwenye Dimba la Camp Nou kati ya mchezo wa Barca na Madrid? A. 3-1 B. 2-1 C. 1-1 D. 1-0

5. Kati ya mechi 10 za mwisho ambazo zilizikutani Barca na Madrid kwenye Dimba la Camp Nou, je Barcelona ameshinda mechi ngapi? A. Tano B. Nne C. Sita D. Tatu

6. Katika mechi za El Clasico zilizochezwa kwenye uwanja wa Camp Nou, je Mshambuliaji Cristiano Ronaldo amefunga magoli mangapi?

7. Je ni mechi ngapi ambazo Barcelona walishindwa kufunga goli katika historia ya mechi za El Clasico zilizochezwa kwenye Dimba la Camp Nou?

8. Ni wachezaji wangapi wa Real Madrid waliopo kwenye kikosi cha timu hio kwa sasa ambao wameshafanikiwa kuifunga Barcelona magoli zaidi ya mawili kwenye uwanja wa Camp Nou?

9. Ni Hattrick ngapi mchezaji Lionel Messi ameshaifunga Real Madrid kwenye Dimba la Camp Nou?

10. Je ni mechi ngapi mfululizo ambazo Real Madrid wamefanikiwa kufunga goli katika michezo ya El Clasi noco iliochezwa Camp Nou?

11. Je kocha Louis Enrique na kocha Zinedine Zidane wamekutana mara ngapi kwenye mechi za El Clasico zilizochezwa kwenye Dimba la Camp Nou?

more: El Clasico…haya ni maswali muhimu unayo paswa kuyajibu…
 
Hii game ni 50/50. Barca pamoja na kutokuwa vizuri kwa siku za hivi karibuni, wana advantage ya kucheza nyumbani. Kiungo mchezeshaji Andre Iniesta Lujan anatarajia kurudi baada ya majeraha yaliyomweka nje kwa karibu wiki 4.

Ile combo ya BBC sioni kama inaweza kushindana na MSN. Bale leo hatakuepo kwa sasa ni majeruhi. Benzema kwa sasa ni mshambuliaji butu hivyo hana madhara sana.

Natabiri Neymar kufunga leo.

Full time barca 2-0 madrid.

Tukutane nou camp mitaa ya 18:15.
Cc. PNC
 
Hii game ni 50/50. Barca pamoja na kutokuwa vizuri kwa siku za hivi karibuni, wana advantage ya kucheza nyumbani. Kiungo mchezeshaji Andre Iniesta Lujan anatarajia kurudi baada ya majeraha yaliyomweka nje kwa karibu wiki 4.

Ile combo ya BBC sioni kama inaweza kushindana na MSN. Bale leo hatakuepo kwa sasa ni majeruhi. Benzema kwa sasa ni mshambuliaji butu hivyo hana madhara sana.

Natabiri Neymar kufunga leo.

Full time barca 2-0 madrid.

Tukutane nou camp mitaa ya 18:15.
Cc. PNC
Leo tunamtafuna Zidane bila huruma
 
LEO NDIO ILE SIKU ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU SIKU YA MIAMBA YA SOKA DUNIANI
LA BRAUGANA vs LOS BLANCOS

MECHI ITACHEZWA SAA 12 NA DAKIKA 15 E.A.T ni mechi ya ligi kuu Hispania almaarufu LA LIGA

JICHO LOTE NI KWA MESSI na RONALDO ambao wanawania tuzo ya uanasoka bora wa dunia

Mechi hii inachezwa huku Madrid wakiingia uwanjani kwa kujiamini kutokana na Barcelona kufanya vibaya kwani kwenye mechi nne zilizopita Barcelona imeshinda mechi moja pekee huku Madrid wakishinda zote na kukata tiketi ya robo fainal kombe LA mfalme kwa jumla ya bao 13
1480750675801.jpg


Barcelona wanaoongozwa na MSN ambao hadi dakika hii wameachwa na vinara Madrid kwa jumla ya alama 6 wao wanaingia uwanjani ili kupunguza alama na LA kujivunia zaid ni hakuna kocha wa Barcelona aliyepoteza El Classico mara mbili mfululizo
1480751035146.jpg


UTABIRI WANGU:

Kipigo atakachopigwa Zidane leo hatakaa asahau na endapo Madrid atashinda na nipigwe Ban mwaka huu woooote

BARCELONA
Coach: Luis Enrique

SUB;


REAL MADRID

1 K. Navas
2 Daniel Carvajal
4 Sergio Ramos
5 R. Varane
7 Cristiano Ronaldo
9 K. Benzema
12 Marcelo
16 M. Kovačić
17 Lucas Vázquez
19 L. Modrić
22 Isco


Coach: Z. Zidane

SUB:
13 Kiko Casilla G
3 Pepe
6 Nacho
10 J. Rodríguez
14 Casemiro
18 M. Díaz
20 Marco Asensio

FULL TIME

BARCELONA 1 R.MADRID 1
Suarez Ramos
 
Iniesta kurudi na kukosekana kwa bale kunaipa zaidi nafasi fc barcelona. Messi hatahitajika sana kurudi kati ili kuanzisha mashambulizi maan kazi hiyo itafanywa kikamilifu na don andres iniesta
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom