El Baradei Atinga Tahrir Square Misri Na Upinzani Wote Nyuma Yake

Sina uhakika kama Uingereza wanaweza kumpokea.
Kuna kila dalili aelekea Uingereza kule kulee mitaa alikotaka Mhe Lowassa kujiopolea hekalu kupitia vijimilioni vya dola kupitia kwa mwanaye.

Isitoshe, kwenye BBC TV kiongozi wa Uingereza Bw Cameroon, leo hii asubuhi alimuelezea Mubarak kama "MTU RAFIKI WA TAIFA LANGU" ambako nako familia yake ilshatangulia kutimkia tangu majuzi.
 
Kule Tunisia, kateremka dakika chache zilizopita, Rashid Alganusi, kiongozi wa Islamist Party aliyekimbilia Uchina miaka mingi iliopita na kupokelewa na melfu katika uwanja wa Cathage Tunisia kwa shangwe ya ajabu.
 
Mubarak ana urafiki mkuwa sana na serkali ya Israel, na akiondoka basi Kiongozi wa shirikisho la wapinzani Mohamed Mustafa ElBaradei ataongoza serikali ya mpito.

Mubarak hana pa kukimbilia zaidi ya Tel Aviv.
Katiba(wakati ambao walikuwa hawana makamu wa rais) ya misri inasema rais akijiuzulu basi spika wa bunge anashikilia nchi na kuitisha uchaguzi ndani ya siku 60.
 
Katiba(wakati ambao walikuwa hawana makamu wa rais) ya misri inasema rais akijiuzulu basi spika wa bunge anashikilia nchi na kuitisha uchaguzi ndani ya siku 60.
Wamisri nadhani hawataki kiongozi yoyote yule ambaye alikuwa chini ya serikali ya Mubarak, ila uwamuzi wanao wananchi wa Misri wenyewe.
 
Kuna kitu kilinishangaza, awali wakati harakati zinaanza Misri askari polisi walikuwa wakitumia mabomu ya machozi kusambaratisha wanamapinduzi.
Maganda ya mabomu hayo yaliandikwa "made in Usa"
Inaamnisha us wanam'finance Mubarak!

ni hivi, US is giving aid to Egypt amounting to 1.5 bil dollars annually, for millitary & citizens
ila Mubarak, anaishi like king, kawasahau citizens, na cha ajabu he was grooming his own son to be President, imagine, ila tayari US imeegemea kwa wananchi, washamgeuka jamaa
 
ni hivi, US is giving aid to Egypt amounting to 1.5 bil annually, for millitary & citizens
ila Mubarak, anaishi like king, kawasahau citizens, na cha ajabu he was grooming his own son to be President, imagine, ila tayari US imeegemea kwa wananchi, washamgeuka jamaa
Marekani lazima ijikomba kwa wananchi kwa sababu wameshaona kuwa hakuna dalili za jamaa kuendelea kuwepo madarakani.
 
Huyu mheshimiwa Hosni Mubarak amekuwa kibaraka wa Marekani na nchi za magharibi kwa miaka yote thelathini alokuwa madarakani.

Pesa ya msaada kwa nchi ya Misri haiwezi kuhesabika ni mabilioni ya fwedha. Matokeo yake Mubarak na watu wake wamejilimbikizia mali ndani na nje ya nchi hiyo wakiwasahau wananchi na hasa kizazi kipya ambacho hakina matumani ya maisha bora.

Mwanae Mubarak aitwae Gamal ambae ndie alikuwa akitarajiwa kumrithi baba yake kiti cha enzi cha uraisi hivi sasa yupo London ambapo aliingia jumatano iliopita. Ana nyumba kubwa na nzuri tu pale Knightsbridge na aliishi Uingerea kwa muda mrefu tu akiweka fwedha kwenye akiba benki.

Tatizo kubwa ambalo litakuwa likitatulika kidogokidogo ni kwamba watu wa aina ya Hosni Mubarak wanaishi kwenye dunia yao na hawako kwenye kuona hali halisi.

Lakini kwa kuwa wananchi wa Tunisia walianza basi kila sehemu yenye watu wenye akili timamu watafuata mapinduzi haya yanayofanywa na wananchi wenyewe na sio jeshi wala mtu fulani peke yake.
 
Vyakula kiduchu Misri. Foleni ya watu kununua mkata ni zaidi ya mistari miwili urefu wa kama kutoka Posta Mpya Jijini Dar es Salaam hadi Magomeni lango la jiji.
 
Marekani lazima ijikomba kwa wananchi kwa sababu wameshaona kuwa hakuna dalili za jamaa kuendelea kuwepo madarakani.

yaap US wameshaona jamaa maji shingoni, iliyobaki ni jinsi gani ataondoka, they
want some kind of smooth power transition, ili jamaa angalau awe na kaheshima
asikimbie kama mbwa mwizi, tayari wamemgeuka
 
Ikiwa ni siku ya sita kwa shinikizo za maandamano mfululizo nchini Misri wananchi kumng'oa Rais Hosni Mubarak, uongozi wa Marekani sasa yabadilisha zaidi msimamo kuwa mkali zaidi kutaka kuona mabadiliko makubwa ya haraka nchini humo.

Hali hii inakuja siku moja tu tangu kiongozi wa vikundi vyote vya upinzani nchini Misri, Mohamed El Baradei, kuhutubia umati mkubwa ajabu wa waandamanaji na kupokelewa uzuri pale Tahrir Square hapo jana jioni.

Kauli za Ikulu ya White House Marekani sasa inasisitiza msimamo wa kuomba jamii nzima ya kimataifa iunge mkono nchini Misri kile walichokiita "JUHUDI ZA KISTAARABU KULETA SERIKALI YA MPITO". Huko nyuma kidogo kauli yao ilikuwa ni kusisitiza tu pande zote mbili "kujizuia na aina zozote za matumizi ya fujo na mabavu".
 
Za kwako weka waves
Haa ha ha haa ha!! Umeamka vibaya leo EMT hebu kazimue kwanza. Umenikumbusha yule kijana litongozi akimchelewesha binti wa watu njiani na ndoo zito lenye maji ndani. Ile ilikua kali mzee!!
 
Dr Mohamed El Baradei=dr W.Slaa wa tz
Hebu ngoja kwanza, hivi katika miaka yote hiyo ya uongozi wa umri wa baba mwenye mji wake mwenyewe, Hosni Mubarak hakubahatika hata siku moja kuvuna japo hata ka PhD kamoja ka-hesima??

Basi huenda alikua hajichanganyi vizuri na taasisi mbalimbali za kimataifa wakati wenzake wenye uongozi madarakani kwa kipindi tu cha umri wa mtoto wa chekechea au Grade I tayari wanazo viji-PhD vitatu vinne hivi!!!
 
Dr Mohamed El Baradei=dr W.Slaa wa tz

Huyu Dr Mohamed El Baradei alikuwa wapi muda wote? Anasubiri Wamisri wanaingia mtaani, ndio anakuja kutoka majuu. Wakati Wamisri wanasuffer yeye alikuwa anakula kuku majuu. I don't like these sort of politicians. Mapinduzi yanayoendelea Misri hayana kiongozi. Ni watu wenyewe wameamua kuwa wamechoka na wanataka mabadiliko.

Accordingly, no one should pretend to be the leader of the uprising. ndio maana watu wengine hawakuhangaika kumsikiliza Mohamed El Baradei pale Tahrir Square because they don't even know who the hell he is. It is wrong even kwa aliyeanzisha hii thread kusema "Upinzani Wote Nyuma Yake." I don't think this is the case.

Sidhani kama unaweza kumlinganisha Mohamed El Baradei ana Dr W.Slaa. They're completely different people from different backgrounds. Wakati Baradei amezoea kupishana na wazungu kwenye corridors, Dr Slaa amezoea kupishana na watu mitaani. Pamoja na kuwa Baradei ana Nobel prize, hajafanya chochote nchini kwake. Completely nothing. I would be very disappointed if he becomes the president of Egypt.

Mapinduzi huwa yanaletwa na wananchi wenyewe; not these sort of politicians or political parties.
 
EMT, hilo unalolisema ni pointi nzito sana. Kuna wachambuzi wa masuala ya kisiasa CNN walikua wanasema kwamba hilo la El Baradei kudandia gari moshi la mabadiliko nchini Misri huenda ikawa ni shida la kumtatiza huko mbele ya safari endapo atapata nafasi ya uongozi Misri.

Lakini usisahau kwamba pamoja na Islamic Brotherhood kuwa na mchango mkubwa wa kupigania mabadiliko Misri, haya mapinduzi ya sasa hata wao iliwakuta na mshtuko mkubwa bila hata kujiandaa na uongozi wowote njiani pindi Mubaraka aking'ooka.

Kwa lugha nyingine, wao REUTERS waliyaita mapinduzi ya misri kama "NON-SECULAR POPULAR CIVIC REVOLUTION".

Hapo walikua na maana kwamba 'Nguvu ya Umma' wenyewe wajiamulia kupindua serikali ya Mubarak bila ya uegemeo wowote wa DINI wala KIKUNDI CHOCHOTE MAALUM CHA SIASA.

Ukweli huo unatueleza kwa nini ilikua rahisi kwa Dr El Baradei kupewa ushukani wa mabadiliko Misri kiulaini hata baada ya yeye kufika tu nchini siku ya nne katika maandamano hayo.

Wana-JF, naona mambo mazito yanayohitaji kujadiliwa zaidi hapa na mambo gani yanayoyafanya mabadiliko nchini Misri yatofautiane na kote kwingineko ambapo wimbi la upiganaji haki na uhuru zaidi bado ungali unaendelea.
 
Ikiwa ni siku ya sita kwa shinikizo za maandamano mfululizo nchini Misri wananchi kumng'oa Rais Hosni Mubarak, uongozi wa Marekani sasa yabadilisha zaidi msimamo kuwa mkali zaidi kutaka kuona mabadiliko makubwa ya haraka nchini humo.

Hali hii inakuja siku moja tu tangu kiongozi wa vikundi vyote vya upinzani nchini Misri, Mohamed El Baradei, kuhutubia umati mkubwa ajabu wa waandamanaji na kupokelewa uzuri pale Tahrir Square hapo jana jioni.

Kauli za Ikulu ya White House Marekani sasa inasisitiza msimamo wa kuomba jamii nzima ya kimataifa iunge mkono nchini Misri kile walichokiita "JUHUDI ZA KISTAARABU KULETA SERIKALI YA MPITO". Huko nyuma kidogo kauli yao ilikuwa ni kusisitiza tu pande zote mbili "kujizuia na aina zozote za matumizi ya fujo na mabavu".

Mkuu sidhani kama Mohamed El Baradei ni kiongozi wa vikundi vyote vya upinzani nchini Misri. A conference was convened in March 2010 amid disagreements over whether to invite Dr. Mohammed ElBaradei, who is supported by the Democratic Front Party, and the Muslim Brotherhood. However, ElBaradei was not invited because he is not a member of any of the opposition parties in Egypt.

The only thing he has done for his country was working as Egypt's diplomatic service in the early 1960s before joining the UN in the 1980s. Apparently, when he arrived back in Egypt to join the protest, one Egyptian had the courage to stood up and asked him where was he when the people were beaten and arrested. ElBaradei was watching abroad as the protests unfolded, posting messages of support on social networking site Twitter. That is not enough from a person of such calibre. He said that he received death threats. But there are people were killed instantly without even receiving such a death warning.

ElBaradel is a weisel who shows up to pick at the carcus. Where was he all this time when there needed to be change in Egypt? Instead he was busy in Iraq looking for weapons of mass destruction. Not to forget how he buried papers when he was with the IAEA. What a joke. Egypt respects power and ElBaradei is far from that. And, he thinks he can talk rationally with the Iranians.
 
EMT, nakuunga kabisa mkono kwa maoni hayo juu ya huyu KIONGOZI WA KUFIKIA, bwana Elbaradei, na mtihani mkubwa mbele yake endapo atapata uongozi Misri.

Licha ya kuaminiwa sana kimataifa, kiongozi huyu mstaafu Mohamed Elbaradei, kama angelikua ni ng'ombe wa maziwa basi ukweli ni kwamba watu wake nyumbani Misri wengi bado hawajamkamua kitu wala kujua utamu wa maziwa yake.

Kama Rashid Ghannouchi wa Tunisia, Mohamed Elbaradei wote wanarejea nyumbani baada ya mapinduzi ya 'Nguvu ya Umma' nyumbani kwa kipindi kinachofanana lakini bado kuna sifa kibao zinazowafanya watofautiane sana tu.

Wakati Ghannouchi, kwa wa-Tunisia, ni kiongozi wa kwanza ni mpiganaji wa tangu miaka mingi, ni kiongozi wa chama kimojawapo nchini mwake, ameshiriki sana mapambano ya mageuzi akiwa ndani na nje ya nchi yake, na watu wengi nchini mwake wanamtambua isipokua siasa zake kali kwa misingi ya kidini na kutokufahamika sana wala kuaminika na jumuiya ya kimataifa ni miongoni mwa sifa zinazomtofautisha kabisa na Elbaradei.

Mijadala ya kiundani zaidi ya mabadiliko yanayoendelea barani Africa yana mengi ya kufanana na mengi ya kukinzana.
 
rumour has it Mubarak has left the country na inawezekana yuko UK vile vile matajiri kadhaa na kiongozi wa ndp wameenda dubai.
Wamisri wakimtimua Mubarak na kumweka El Baradei nitawaona watu wa ajabu sana. But again inaonekana watu wote wenye uwezo wa kutawala either ni wazee, wako associated na mubarak na chama chake au wanatoka wings za muslim brotherhood.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom