Ekelege, deal lako limestukiwa!

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF mkurugenzi mkuu wa TBS bwana Ekelege,kabla ya wizara yake kushtakiwa na CAG tayari alipanga safari ya waandishi wa Habari(kwa gharama zake)pamoja na Wabunge wanaounga Mkono madudu kwa gharama za Serikali kwa ajili ya kwenda Dubai,Japan,Singapore na Hongkong kwa ajili ya kukanusha habari kuhusu na taarifa za CAG,Michango Bungeni na kupinga ile kamati Teule ya POAC(kamati ya Zitto) iliyoongozwa na Deo Filikunjombe.
Safari hii ilikuwa iongozwe na Mh Mahmoud Hassan Mgimwa(mbunge wa Mufindi kaskazini)ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Viwanda na Biashara ambaye tyr alitanguliziwa kitu kdg cha kukwaweka Wabunge sawa na fungu la Waandishi ili wakirudi watoe taarifa ya kukinzana na CAG
Kwa kuwa Rais na Bunge walistukia hili mapema Mpango huo umebaki njia panda na hakijajulikana nini kitafanyika.
SOURCE: Mtumishi TBS na Mwandishi aliyekuwa akihaha kupata pasi ya kusafiria
 
Mafisadi wa Tanzania inabidi wajue na wakubali kuwa their days are Numbered kwani whenga walisema akuna marefu yasio nna ncha
 
JK hana lolote ni zimamoto wa kisanii,angekuwa serious,Ekelege alitakuwa kuwa sero this tyme,kwa kuruhusu bidhaa feki! kwa nchi kama china,tunngekuwa tushasahau msiba wake zamaani!
 
Huyu Ekelege anyongwe... y...? kila siku tunamwongelea huyu fisadi bado yupo...
 
Ekelege all this cheating to whom benefit?Shame on you and you will ending up in jail soon or later!The time will come when black is Black and it start from Now
 
Hivi kwa wale mnao agiza magari, kumbe zile Inspection Fees ndio wanakula wajanya, Tanzania kichwa ya mwenda wazimu
 
Ekelege all this cheating to whom benefit?Shame on you and you will ending up in jail soon or later!The time will come when black is Black and it start from Now

Hapo pekundu inatakiwa pasomeke 'for whose'.
By the way naunga mkono hoja ya kumpatiliza Ekelege kwa sheria za uhujumu uchumi zilizopo
 
Mafisadi wa Tanzania inabidi wajue na wakubali kuwa their days are Numbered kwani whenga walisema akuna marefu yasio nna ncha

nimeipenda avatar yako mkuu Chipukizi. Pia nakubaliana nawe kuwa sikku zao zinahesabika na wala si muda mrefu.
 
Wana JF mkurugenzi mkuu wa TBS bwana Ekelege,kabla ya wizara yake kushtakiwa na CAG tayari alipanga safari ya waandishi wa Habari(kwa gharama zake)pamoja na Wabunge wanaounga Mkono madudu kwa gharama za Serikali kwa ajili ya kwenda Dubai,Japan,Singapore na Hongkong kwa ajili ya kukanusha habari kuhusu na taarifa za CAG,Michango Bungeni na kupinga ile kamati Teule ya POAC(kamati ya Zitto) iliyoongozwa na Deo Filikunjombe.
Safari hii ilikuwa iongozwe na
Mh Mahmoud Hassan Mgimwa(mbunge wa Mufindi kaskazini)
ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Viwanda na Biashara ambaye tyr alitanguliziwa kitu kdg cha kukwaweka Wabunge sawa na fungu la Waandishi ili wakirudi watoe taarifa ya kukinzana na CAG
Kwa kuwa Rais na Bunge walistukia hili mapema Mpango huo umebaki njia panda na hakijajulikana nini kitafanyika.
SOURCE: Mtumishi TBS na Mwandishi aliyekuwa akihaha kupata pasi ya kusafiria

Huyo Mh Mahmoud Hassan Mgimwa(mbunge wa Mufindi kaskazini) ndiye ambaye amekuwa Waziri wa Fedha wa sasa katika baraza jipya la mawaziri?
 
Back
Top Bottom