Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

duuh?huwa inauma sana mara ya kwanza then ngoma inagoma kuamka,mwanamke cjui atakuwa kamwonaje?ila sio ishu asome vitabu vyenye love stories,angalie mikanda ya xxxx kwa wing,pia ale vyakula vy kuongeza nguvu bila kusahau karanga mbichiii kwa wingi,akifanikiwa atoe shukran humu humu jf,supu ya pwezaaa pia kama inapatikana anapoishi nayo ni dawa mwafaka,,,,,:decision::decision:nawasilisha
 
sasa si aende hospitali wazo gani litamsaidia hapa na mtu anaumwa...
 
mwambie ajaribu akitoka tu ofisini arudi kupumzika ahakikishe kila siku analala masaa yasipungue nane au saba hivi na awe amekula vizuri hiyo hali itarudi tu, yaani kwa kifupi kazi zinakuchosha mkuu ila muda ukienda ukazoea hiyo kazi utakuwa fresh tu
 
mwambie ajaribu akitoka tu ofisini arudi kupumzika ahakikishe kila siku analala masaa yasipungue nane au saba hivi na awe amekula vizuri hiyo hali itarudi tu, yaani kwa kifupi kazi zinakuchosha mkuu ila muda ukienda ukazoea hiyo kazi utakuwa fresh tu

jamaa ni nyama uzembe flani lakini msosi naona ni mgogoro kiaina...but good advice..thanks
 
et list u say smthng...nikweli jamaa ana stress....na alishawahi pata depression kama 2 yrs back....kazi yake sio ngumu kiivyo..ni kama customer care',.
swala la punyeto naamini 100 perc analikung'uka sana...huyu jamaa ni muhindi-mbongo...!!
Mwambie aendelee kutumia tu hizo dawa za depression, kwani pamoja na kumtibu hayo matatizo yake ya hiyo depression; vilevile zinamfanya mtu achelewe ku-ejaculate. Je anaweza ku-maintain erection hata kwa mda kidogo?.
 
jaman madaktari hv n nn chanzo cha premature ejaculation na je inatibika hostali na kama hapana kuna tiba yeyote? Naomba msaada!
 
sijui chanzo. ila google kergel's exercise uone inafanywaje na faida zake. kiufupi ni mazoezi ya njia ya mkojo. wakati unatoa haja ndogo,unaachia mkojo kwa kuubana,unaukata fo 5 secs, afu unaendelea repeatedly. among other things inasaidia kupunguza premature ejaculation.
 
thanks 4 your advice, lakn mi sinywi pombe so tiba yoyote inayoambatana na kilev haitawezekana na kuhusu kargel exercise nshajarb bt its not working
 
unahitaji prostate massage!!!! tafuta mtaalamu au google prostate massage!! how to do it ur self
 
kwenye maswala ya velue na konyagi ni imani tu swala la mapenzi ni maandalizi na mazingira mtakayokuwa
 
Back
Top Bottom