Eid ulisheherekea vipi?

Hivi hapa mnazungumzia nn? Asee hii hangover kila nikisoma post naona zipo mbilimbil.............kwa kweli IDD ya jana Ndovu na Mdudu walipa habari zao......
:hippie:
 
Vipi DOVUTWA akuonekana uko?
 
Kabaila/dhalimu/nduli/beberu wa wajukuu.....
Hapa anatukanwa nani?

Hivi hapa mnazungumzia nn? Asee hii hangover kila nikisoma post naona zipo mbilimbil.............kwa kweli IDD ya jana Ndovu na Mdudu walipa habari zao......
:hippie:
We kumbe ndio uliniharibia Iddi yangu......:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Kwa ajili ya hangover yako nakuandalia thupu ya swala
 
Vipi DOVUTWA akuonekana uko?

hahaha Dovutwa alinitosa cjui kajichimbia wapi?
Hapa anatukanwa nani?

We kumbe ndio uliniharibia Iddi yangu......:A S angry::A S angry::A S angry:
hivi kutaja majina kwa sheria mpya ya JF ni kosa Eh?
Babu hata Cm ulikua hupoke wewe bana........ukiwa na wajukuu unakua mkali cjui kwa nn...:A S angry::A S angry:
 
2+2 ni ngapi tena hommie?
kama 1 x 1 =1, then 2x2=2...Hivi ulimaanisha jumlisha au zidisha?

hahaha Dovutwa alinitosa cjui kajichimbia wapi?

hivi kutaja majina kwa sheria mpya ya JF ni kosa Eh?
Babu hata Cm ulikua hupoke wewe bana........ukiwa na wajukuu unakua mkali cjui kwa nn...:A S angry::A S angry:
Wajukuu wengine wanashika sharubu za babu bila ridhaa yake.
 
Jumatatu ya leo kiboko....yaani mkoloni hajaingia ofisin hadi saa hizi saa nane....
Inakuwaje tena FL1??? Umeitundika hii picha wakati nilikuambia ni konfidensho?......:doh::doh:....
Nacheki na ivii akupige bana.....

Mkoloni mwenyewe ana hangover RR..sikukuu ilikuwa kwa wote
 
Back
Top Bottom