Ehud Barak belittled Tanzania

Rookie mistake, angeweza kusema Germany, Britain na France ni nchi zenye umuhimu mkubwa sana bila ya kuzi compare na Tanzania, na ku make point yake ile ile bila ya adha ya controversy.
Mkuu umenena... But maji yakisha mwagika hayazoleki.
kero langu ni kuhusu attitude ya serikali. Yaani nchi imetukanwa wenyewe wakichekelea, na ndio bado wanatoa aliko rasmi ya kuwakaribisha walo tutukana nchini! The only retaliation was in mentioning that Tanzania is full of peace loving people (which could be interpreted as an illusion to the bellicose reputation of the Israeli government). Why didn't they ask for official excuses first?
 
Watanzania wa leo ni kizazi kinachotia aibu. Yaani tunatukanwa point blank halafu wanatokea mataahira baina ya watanzania wanaooona kuwa kuna justification!!!
Shame on you nyote mnaokubaliana na kutukanwa kwa Tanzania.
 
Heheheee pole
 
Kuna watu humu hawana haki hata ya kupocess erectile function kwa sababu wakizaa watoto wanaofikiria kama wao itakuwa balaa...
 
Nimeamini kuwa hatujafanikiwa kabisa katika somo la uraia. Tulichoweza ni kutenngeneza watanzania wenye ujanja wa kutumia maneno "magumu" ya kiingereza otherwise uwezo wa kuchanganua mambo ni SIFURI.
 
Kaandamane na mabango kwenye ubalozi wao kama wanao. Kama hawana andika barua kulalamika.
 
Watu wanaokubali kutukanwa huku wakitafuta justification ya kujifariji ndio hao ambao akikaa kwenye kiti akaona mtu wa taifa lingine analoliamini kuwa superior anajisikia jukumu la kumpisha kiti. Watu wa namna ni maiti zinazoongea na kutembea.
 
Wewe kula burger na ice cream kwa sababu tusi hili halikuhusu, hili linawahusu watu wanaojitambua.

Na wewe endelea kula vumbi na tope (hiyo ni kama kweli uko huko unakotaka kutufanya tuamini upo). Vinginevyo povuka hadi ukauke.
 
Haya Wale Walokole wanaojipamba kwa Wa Israil ona hao wayahudi wanavyo tudharau namna hiyo Tabia za hao Wayahudi na waarabu hazina tofauti kabisa kwani Waarabu na Wayahudi wote ni ndugu Moja kwa Baba yao Nabii Ibrahim. Wayahudi ni washenzi wa

Tabia kudharau kwao ni kitu cha kawaida kama walivyokuwa Waarabu. Mimi huwa nawaita watu Weupe karibu wote ni Mashetani ya Kibinadamu hawana ubinadamu kabisa hata kama utawapigia magoti wao watakuona kama ni mbuzi wao shwain.
 
Na wewe endelea kula vumbi na tope (hiyo ni kama kweli uko huko unakotaka kutufanya tuamini upo). Vinginevyo povuka hadi ukauke.

Vumbi na tope kama nimezaliwa nikaikuta kwa my mother land nitawajibika kuvisafisha. Kamwe siwezi kujivunia rami na manukato nitakayoyapata kwa kukimbia vumbi na tope la nyumbani kwangu ambako nimewaacha bibi na babu.
By the way, kwanini unakuja Jamiiforums? Kuna forums za watu wenye rami na hewa safi kama wajerumani, wafaransa na waingereza. You seem to try so hard to identify yourself with them.
 
And you don't try hard to identify with them?
 
Back
Top Bottom