eHow inavyosema kuhusu computer programming schools in tanzania

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
64
19
Tembelea link hii: http://www.ehow.com/m/list_7169020_computer-programming-courses-tanzania.html

Sasa, baada ya kutembelea, vyuo vingine kama UDSM, UCC, MIST, UDOM, etc mpo wapi!?

Let's be active!
 
Sio hvyo tu, kuna vyuo vingi sana tanzania vinafundisha programming, cha kwanza ni university of dar es lakini havijaorodheshwa hapo kwenye hiyo link... Nilitaraji walau some people from hvyo vyou nao wangeweka hata comment kua vyuo vyao navyo vipo!
 
eHow ni user-generated content site kama ilivyo JF, si lazima iwe sahihi. Inategemea na aliweka hilo bandiko, wewe pia unaweza kuliboresha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom