Japo sisemi ni ruksa mtu yeyote kuuwawa, lakini foreigners wanatakiwa kujua maeneo salama ya kuishi na kufanyia biashara. Ndio maana wazungu na matajiri wakubwa hawaishi manzese. Wanajua watakua ni target.
Kama Wachina wanajiamini kujichanganya uswazi wasilalamikie yanayowakuta. Ndio yanayotukuta wote tunaoishi kuko. Wawekezaji wenzao wako Obay na mikocheni, wanakunywa bia za Tsh 3000 kwenye clasfied pub kwa ajili ya usalama wao.