Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

Hiyo Picha ni Uongo kwani hii picha ilishinda Shindani la kuchora kitu kitakachoshangaza iweje iwe kwenye uislam lol
Watu wa Hud -Qur'an.JPG

Hii ni picha ya kuchora !? .... au hutaki tuu, hivyo umepanga ubishi !? Mlaleo
'Na bila shaka tuliwaweka vizuri (kwa kuwa wakubwa na nguvu nyingi) sio kama tulivyokuwekeni nyinyi; na tuliwapa masikio, na macho na nyoyo. Na hayakuwafaa kitu masikio yao, wala macho yao, wala nyoyo zao kwa lolote ! Kwani hao (watu wa Hud) walikuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na yale waliyokuwa wakiyafanyia masikhara ndiyo yakawazunguka. QUR'AN: 46:26.
 
Sorry imegoma sijui umeweka nini mkuu

black sniper hawa watu walikuwepo Duniani !
Watu wa Hud -Qur'an.JPG


'Mnaona ajabu (mimi Hud ) kukufikishieni mawaidha yanayotoka kwa Mola wenu Mlezi kwa mtu aliye mmoja wenu nyinyi ili akuonyeni ? Kumbukeni alivyokufanyieni (Mwenyezi Mungu) mshike pahala pa kaumu (watu) wa Nuhu, na akakuzidishieni katika umbo. Basi zikumbukeni neema za Mwenyezi Mungu ili mpate kufanikiwa.
Qur'an: 7:69.
 
There is no doubt of the white man's fear of the supremacy of the black man. In order to maintain a false sense of superiority, the white man has engaged in a centuries old campaign, to make sure the black man is undermined and made inferior by all means. This is a philosophy... Make sure that the black man doesn't find out the truth. Too late, he already has!

Today's black people, particularly in America, have learned much about their ancestors, even the ancient Egyptians. There is scientific evidence that the ancient Egyptians were black not white, humans, not alien.

They had superior knowledge in all fields, which gave them the ability to build pyramids, among other things. The white man has proved his own Inferiority by being unable to decipher the millennium-old puzzle of all times: How the pyramids were built. Thus, because such a thing seems humanly impossible, then it must be extraterrestrial in origin. Right? Wrong!

There is no concrete evidence to prove the existence of extraterrestrial brings on Earth, and, if any, such evidence would be easily visible. It wouldn't be a puzzle.

For a black man to even think the the pyramids were built by the so-called aliens, is not only degrading and self deprecating, it goes to perpetuate the white man's whims and fancies, that the black man has never amounted to anything of substance.

There are many hidden, purposely, truths about African history, for example where King Solomon's Mines are located, where Christianity originated, and so forth. If I were to go into those details it would take years to convince you, my Black brothers and sisters in this forum.

Let me make it simple...

When the white man was still learning about government, we, African people had already mastered it... The white man learned about protocol and diplomacy from us, African people.

When the white was experimenting with medicine, we already knew how to cure and prevent disease using herbs and roots... We didn't require any synthesised drugs to treat wounds or common colds... In fact, herbal medicine started in Africa, was adopted first by the Chinese and then by Caucasians and thereafter

So, why are we even doubting our superiority by agreeing with the white man that ancient Egyptians were alien in nature?

I pity the fool who regurgitated this nonsense.

Please refrain from the wholesale adoption of the white man's propaganda. It only serves to perpetuate his mental slavery upon us all.

We are better and can do better than the white man, if only we would believe it.

They say Jesus was Jewish?

He was Black!
 
Uwezo wa watu wa kale ulikuwa ni mkubwa mno ukilinganisha na wazungu. Walivumbua vitu vingi sana kama mdau Mwana haki alivyojaribu kudadavua kwa mfano hesabu zilianzishwa na wamisri hata kukata nywele pia dye hair walikuwa ni wao pia kukata kucha ni Egyptians ndio walikuwa wa kwanza.

Pia kuhusu uwezo wa kujenga majengo makubwa na pyramids zipo sehemu nyingi duniani kama Brazil, Chile na hata Peru (Inca) ambao walikuwa na tabia hizo hizo na kufanana sana na Egyptians.
Ukisoma "The Amazing Connections Between The Inca and Egyptian Cultures" utaona maajabu
 
Wakuu nilikuwa sifahamu kumbe pyramid zimejengwa na Blacks?

Nilikuwa najiuliza jinsi waebrania walivyokuwa na miili dhaifu+uvivu,wangeweza kweli kujenga structure kama zile?

Nasikia hata taa(light bulb) Haikugunduliwa na Thomas Edison bali Mbantu fulani aliyeipeleka hiyo knowledge misri
Hv Mkuu na ww kuna vitu kumbe hujui????? Hahaha
 
Mkuu we mwenyewe huna uhakika wa mwaka gani zilijengwa, na dunia nzima bado inabahatisha tu kuhusu lini hii mijengo ilijengwa. Haya mapiramidi ni one the greatest mysteries hapa duniani

Miaka ya nyuma na mie niliamini kwamba Egypt ilikua chanzo cha ustaarabu wote wa mwanadamu, lakini kila siku nakutana na vitu vipya Mkuu. Kwa mfano tu, ustaarabu wa wamisri kwa kiasi kikubwa ulitokea Babeli na Sumer

Kwa hiyo kwa sababu kina Plato, Pythagoras na Aristotle walitembelea Egypt haiprove chochote kuhusiana na nani alijenga pyramids. Ukiiangalia Greece ya leo huwezi amini kama ndio kiini cha western philosophy na ustaarabu kwa ujumla, kama Greece ya juzi tu hapa iko hoi namna hiyo, je itakuaje kwa Mesopotamia?

Na kuongezea Mkuu, ustaarabu wa kale kabisa wa mwanadamu ulifutwa na the deluge, without it may be leo hii tungeshangazwa na ustaarabu wa hali ya juu wa watu wa Babeli na Sumer

Watu wa babeli na sumer ni watu gani, na ni wapi huko katika dunia ya sasa.
 
Binadamu kwenye ujinga wao, imani za ovyo zitawaua watu, huyu anakuja na mambo ya aliens kujenga pyramids..
Sisemi kua hakuwezekani kua na any alien life form nje, inawezekana sana tu the universe is very very big, lakini kusema pyramids zimetengenezwa na aliens ni upuuzi, na kuja na picha picha za online ambazo nyingi zimekua photoshopped inaonyesha kabisa jinsi gani mtu kichwani si mzima anaamini kila kitu anachoona online.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom