Egyptian protestor moja kasima mbele ya gari la police la maji yamwasho

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
Hii kweli nifundisho kwa dunia nzima pamoja na watanzania mtu moja haogopi kasimama mbele ya gari la police na nikokwenye mwendo mkali sana na police wamesimamisha gari nakurusha maji ya muwasho lakini wabongo sisi wogasana mambo kama haya watu wanakimbia majumbani nakujificha chini ya mvungu wa vitanda lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom