Ego= 1/Knowledge

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
553786_3686493634361_1453010293_n.jpg

Hapa kuna ukweli wana Jf?
 
Mfano Slaa, PhD ya Kanoni bila kuwa na digrii hata ya kufutia machozi. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Mkuu inaonyesha zaidi ya robo tatu ya fikra zako ziko occupied na Dr. Slaa,ni dhahiri ni mtu muhimu sana kwako,kika jambo unaloliandika hapa lazima umhusishe. naamini asingekuwa muhimu sana kwako usingehangaika hivyo!
 
Tena ni muhimu sana watu wakamjuwa alivyo. Hilo wala halina shaka. Sitopenda kabisa mtu asiye na ukweli na nafsi yake awafanye wengi wajinga na wanamfata kama misukule. Wanaona kabisa dhambi zake lakini wao wanamfata tu. Mtu namna hiyo ni hatari sana ni kama kina Jim Jones na au Kibwetere.
 
Of course it's true. Knowledge is like butter on a toast. the less you have, the more you spread. Tunaona hata hapa JF...
 
Mfano Slaa, PhD ya Kanoni bila kuwa na digrii hata ya kufutia machozi. Kwi kwi kwi teh teh teh!

Kwani Dr.Slaa akiongea,akaja na Dr.somebody else akaongea utofauti utatokea wapi???
Dr.Slaa kichwa,huwezi kumlinganisha na hao wenye degree(s) unaowafahamu!
 
"Lesser the knowledge more the Ego" sio kichwa.
 
Back
Top Bottom