Eeh MUNGU tusaidie!

Aaaaamen, maana sie wengine majini mahaba huwa yanatuwinda usiku na mchana mbayaaaa........
 
ahahahahahhahahha una mambo weye!kwa mwendo huo lazima unahitaji maombi kanisani kwetu,kanisa letu linaitwa MMU WOMEN SPIRITUAL CHURCH!
Source ; The Boss.

mkianza deliverance mniambie
nije ku confess lol
sijui mnatumia mbinu gani?
mi napenda ile mbinu ya kufanya kwa mara ya mwisho lol
mfano deliverance ya pombe,na pombe inaletwa
 
mkianza deliverance mniambie
nije ku confess lol
sijui mnatumia mbinu gani?
mi napenda ile mbinu ya kufanya kwa mara ya mwisho lol
mfano deliverance ya pombe,na pombe inaletwa

Yaani ukiwa delivered hata hiyo hamu haitapatikana, so the moment unaingia mlangoni unakumbana na anointing.
 
Yaani ukiwa delivered hata hiyo hamu haitapatikana, so the moment unaingia mlangoni unakumbana na anointing.

nataka deliverance ya kushambuliwa
yaani wachungaji wanawake tunajifungia sehemu mnanishambulia
kwa deliverance hadi hamu inaisha lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom