Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

Yani hiyo permanent solution ya kabaridi inabidi iwe imetulia si unajua tena??? atakayeweza kukidhi mahitaji mara kwa mara?????
icon10.gif
hehehehe!...:D:D
hako kanafasi kanamfaa x-pin
 
hehehehe!...:D:D
hako kanafasi kanamfaa x-pin

Ona unavyompigia debe Xspin wakati ana mwenza unataka nimwagiwe tindikali kwa uso???? Halafu na wewe G, yani nimechelewa kiduchu tu kiduuuchu................................
 
Fidel kabanwa na mtoto wa uswaz si unamuona mwenyewe hapo juu alivyosema???
icon10.gif

Hivi Jacob Zuma ana wake wangapi vile?
Unajua mm bado nipo kwenye mikakati ya kutafuta mchumba huku uswazi tunarusha roho tu...kumbuka mikakati yangu ni 2012 nataka niwe na mwali ndani.
 
Ona unavyompigia debe Xspin wakati ana mwenza unataka nimwagiwe tindikali kwa uso???? Halafu na wewe G, yani nimechelewa kiduchu tu kiduuuchu................................
hehehehehehe!
halafu mimi ni wa taipu yako,si eti eeh?!:D
 
JS location yako utata
hapa nilipobold ndo mnakutana na kina Nguli na Xpin?

Location: Home/Office/Bar/Saloon
 
i am az pamanent az Zuma..............i keni bi yua blanketi chapa mtu. yu donti nidi apruvo fromu Xpin.

Taratibu skuli mate wa project man! That needs my approval. Na akikosekana mtu nakamata usukani mwenyewe!
 
Hivi Jacob Zuma ana wake wangapi vile?
Unajua mm bado nipo kwenye mikakati ya kutafuta mchumba huku uswazi tunarusha roho tu...kumbuka mikakati yangu ni 2012 nataka niwe na mwali ndani.

Hivi ee sijui nitakuwa nimefikisha ile miaka yangu ya kupata mwenza?? kwenye huo mikakati simo katika mahesabu??
 
Ona unavyompigia debe Xspin wakati ana mwenza unataka nimwagiwe tindikali kwa uso???? Halafu na wewe G, yani nimechelewa kiduchu tu kiduuuchu................................

AAhh! My waifu wangu amefundwa. Anaijua mila yangu, hilo halijalishi! So no worry!
 
Back
Top Bottom