Eee mungu mpe maisha marefu mume wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!

asante nivea kwa thread positive!mi-thread mingi ya humu maumivu tuu!ubarikiwe sana dada!nimependa una moyo wa kutoa bila kujali kama unapewa!hata likes umetoa nyingi kuliko ulizopewa!keep it up
 
Ni vizuri kuombeana ili kupata nguvu ya ziada toka kwa Mungu ya kumshinda shetani na mabaya yake yote
 
hii ni sala yangu ya kila siku kwa Mungu ,ampe maisha marefu na ulinzi utoao kwake aweze kuzishinda tamaa za huu ulimwengu kwani akianguka na mimi nitaanguka,sijui kama yeye nae huniombea ila mimi nafanya hivyo kama wajibu wangu kumwombea yeyena familia yote na vitu vingine ila for the start naanza nayeye.
swali???
je wenzangu munawaombea waume zenu?
je na nyie wanaume munawaombea wake zenu?
busara na hekima inahitajika nawakilisha.


Wale mashekhe wetu husema hivi "Nakuusiiine kama ninavyoiusia nafsi yangu............." How about that katika duwa yako?
 
Back
Top Bottom