Kitena
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 339
- 254
Aisee nashukuru sana mkubwa kwa kutueleza historia ya huyu shujaa wetu aliyekuwa akipinga mambo ya kuhujumu taifa letu.
Hawa viongozi wetu karibia wote hakuna mwenye uchungu na taifa letu, kila mmoja anaangalia tumbo lake tu.
Ndio maana katika mchango wao katika Rasimu ya katiba sura ya kwanza hawataki:~
1. Uadilifu
2. Umoja
3. Uwazi
4. Uwajibikaji
Kuwa tunu ya Taifa kwani wanaona kuna siku watataka kulihujumu taifa na kuna vifungu kwenye katiba vinawabana.
Mungu ibariki Tanzania, alale mahali pema peponi Hayati mzee Moringe Sokoine.