Edward Lowassa: The Commander in Chief ( in waiting....)

Binafsi nataka rais kama huyu.

Hamumunyi maneno na anajua mood ya nchi na pia yuko decisive. Naamini huyu anafaa kuwa my Commander in Chief japo kwa sasa he's in waiting.

Tunaheshimu maamuzi yako.Sisi wengine hatumkubali,kwanza huwa Ana udini si mnaona anavyomwaga fweza makanisani?
 
Binafsi nataka rais kama huyu.

Hamumunyi maneno na anajua mood ya nchi na pia yuko decisive. Naamini huyu anafaa kuwa my Commander in Chief japo kwa sasa he's in waiting.

He is very corrupt na mdini sana hafai.
 
Edwad Lowasa ni miongoni classified thieves! Ni tajiri sana na utairi wake hawezi kuuelezea, ina maana aliyatumia madaraka yake vibaya. HAFAI, HATUFAI.
tanzania haimudu kuongozwa na mtu mwenye kiu ya kuiongoza, inahitaji mtu anayeipenda na kuwapenda watu wake, mwenye huruma, utu, mwenye kukerwa na rushwa, mwenyekujua kwanini watanzania ni masikini,
SLOGAN HAZINA NAFASI THIS TIME.

Fully supporting you. once bitten twice shy
 
Back
Top Bottom