Edward Lowassa: The Commander in Chief ( in waiting....)

Isaiah 40:3; Mal. 3:1; Matt. 3:3, Prepare the way of the Lord.


greekprepare.gif

John the Baptist was the greatest of Prophets (Matt. 11:9-11) and the privileged messenger who was sent to prepare the way of the Messiah according to the Word of God. There are four main texts used to verify this:

  • "For this is the one referred to by Isaiah the prophet, saying, 'The voice of one crying in the wilderness, 'Make ready the way of the Lord, make His paths straight!'' (Matt. 3:3).
  • "The beginning of the gospel of Jesus Christ, the Son of God. [SUP]2[/SUP]As it is written in Isaiah the prophet, "Behold, I send My messenger before Your face, who will prepare Your way; [SUP]3[/SUP]The voice of one crying in the wilderness, 'Make ready the way of the Lord, make His paths straight,'" (Mark 1:1-3).
  • 'This is the one about whom it is written, 'Behold, I send My messenger before Your face, who will prepare Your way before You,' (Matt. 11:10).
  • "He [John the Baptist] said, 'I am a voice of one crying in the wilderness, 'Make straight the way of the Lord,' as Isaiah the prophet said,'" (John 1:23).



 
kwetu kusini watu waliwekwa kwenye ofisi za vijiji na wakati mungine kupigwa na kufungwa kamba kwa kukwepa kujenga shule za kata,alisema lazima TZ ni moja lazima tuwa na shule kama mikoa mingine bongo ni moja,ikawezekana na faida yake tumeiona leo.tunata mtu kama huyu.
 
Huyu jamaa nyendo za sokoine, atainyoosha hasa hawa watendaji wanaotuhumiwa siku hizi na bado wapo wanatanua maofisini angekuwa ameshawafyekea mbali
 
Tumechoka sasa maana kuna watu mmetumwa humu ndani maana kila siku ni habari hizohizo, kwani ninyi ndio wapiga kura za uteuzi wa jina la mgombea Urais, waacheni wao ndio watakaojua km watahongwa tena basi maana ipo thread humu ya wasomali wa intergrated mnaiyeyusha hebu fuatilia hapo km unataka ushahidi zaidi kesho Lowasa +Wasomali
 
hata kwa uchawi hawezi kuwa kamanda in chief

Kwa mtu anayefuatilia siasa za bongo kwa makini atakubaliana na mtu asemaye EL ni kiongozi mzuri, na ukifuatilia sakata lililomchafua huyu mzee hata watu kumrushia madongo, lilikuwa la JK. japo mimi si mwanagamba lakini namfagilia sana EL. ndani ya wanagamba sioni mtu awezaye kupambana na mwanagwanda zaidi ya EL.
 
Naunga mkono hoja

Yaani Tanzania tumeishiwa kiasi hiki? Atoke fisadi mmoja aliyetufilisi katika madini, EPA, Dowans na Symbion, etc. etc. halafu tuingize fisadi jingine lililobobea katika ufisadi kututawala tena? Tanzania deserves better. No wonder unamtetea Januari Makamba. Kumbe ni wale wale.
 
Kwa mtu anayefuatilia siasa za bongo kwa makini atakubaliana na mtu asemaye EL ni kiongozi mzuri, na ukifuatilia sakata lililomchafua huyu mzee hata watu kumrushia madongo, lilikuwa la JK. japo mimi si mwanagamba lakini namfagilia sana EL. ndani ya wanagamba sioni mtu awezaye kupambana na mwanagwanda zaidi ya EL.

Edwad Lowasa ni miongoni classified thieves! Ni tajiri sana na utairi wake hawezi kuuelezea, ina maana aliyatumia madaraka yake vibaya. HAFAI, HATUFAI.
tanzania haimudu kuongozwa na mtu mwenye kiu ya kuiongoza, inahitaji mtu anayeipenda na kuwapenda watu wake, mwenye huruma, utu, mwenye kukerwa na rushwa, mwenyekujua kwanini watanzania ni masikini,
SLOGAN HAZINA NAFASI THIS TIME.
 
Huyu jamaa nyendo za sokoine, atainyoosha hasa hawa watendaji wanaotuhumiwa siku hizi na bado wapo wanatanua maofisini angekuwa ameshawafyekea mbali

kwani yeye si mtuhumiwa!
Umepotoka, usitupotoshe nasi, Lowasa hana sifa ya sokoine, hana sifa za sokoine nasema Lowasa ni hatari zaidi ya ghala la mabomu.
 
Nimemsikiliza vizuri kwenye dk 45,kwa kweli anajitahidi,tatizo lake asafishiki hata kwa ACID,hafai kuwa raisi kwa Tanzania mpya tunayotaka kuijenga,Ufisadi upo damuni ataendelea kuwalinda mafisadi waendelee kumug'unya nchi,hata faida ya gesi aliyoongelea hatutaiona.Pia amechangia sana misikiti na makanisa anao usongo wa kurudisha fedha zake.Nilimuangalia kwa makini jicho lake la kushoto liko so weak ana kila dalili za mtu mwenye ugonjwa wa mara kwa mara wa stroke sijui lakini naona kama 2015 ni mbali sana kwake.
 
Lowasa akiwa Rais wa nchi hii basi mimi ntahama nchi.
Siwezi kuongozwa na richmondondo hata kidogo labda nife kesho. Vinginevyo sitakubali kabisa.
 
Nyonge mnyongen haki yake mpen. Yule mzee bado anafaa kuwa rais. Kilichotokea ni siasa tu na ukwel wa Kimungu anaujua Sita coz yeye alitaka yeye ndio apewe hicho cheo akawa anatafuta pakumnasia. Dili lilikuwa la baba riz so lowassa coz yeye ndio alikuwa mtendaji mkuu wa serikal babariz akamuhtaji ahakikishe analipata. Mzee wa watu angefanyeje. Na ndio maana ulimsikia mwakiembe anasema kuwa
Kuna cku atalipuka point yake ilikuwa ameiona ulemchongo ulivyokuwa. Japo kwel lowasa alifanya kwa sehem coz alitumwa na babariz . Mimi ningependa kama ccm wangempitisha mmoja kati ya hawa kugombea urais . MWAKIEMBE, MAGUFULI, AU LOWASSA. Kwangu mimi ndan ya ccm hao ndio naona angalau nchi inawezapiga hatua kidogo. Nje ya ccm kuna DCT. SLAA, ZITO NI MZUR KWA MAANA YA UONGOZ TATIZO MAFISADI WASHAJUA BEI YAKE.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom