Edward Lowassa: The Commander in Chief ( in waiting....)

BORGIAS

Senior Member
Jun 3, 2012
134
57
Binafsi nataka rais kama huyu.

Hamumunyi maneno na anajua mood ya nchi na pia yuko decisive. Naamini huyu anafaa kuwa my Commander in Chief japo kwa sasa he's in waiting.
 
Huyu bwana na Kamati yake, kama zilivyo Kamati nyingine ambazo ni swamps of corruption wanajaribu kufanya blackmail kwa serikali na mawziri wao, ndo maana wanaumbuka na hizo rushwa wanazoomba.
 
Lowasa adhabu yake ni kunyongwa 2 mpaka afilie mbali jambaz mkubwa huyu
 
Nimependa kauli yake dhidi ya malawi ila SIMKUBALI HATA KIDOGO.kauli yake ya jana japo ina impact but anatafuta credibility kisiasa.
 
Nimependa kauli yake dhidi ya malawi ila SIMKUBALI HATA KIDOGO.kauli yake ya jana japo ina impact but anatafuta credibility kisiasa.HATA HIVYO AKISIMAMA KWA CCM Hatashinda hata wamlete gamba la kukodi toka MABWEPANDE nothing else..hence chadema 4 life
 
Hana lolote huyu EL alishachafuka hasafishiki.Asitafute umaarufu kwa kuitumbukiza nchi vitani, suala la Malawi na Ziwa Nyasa ni dogo la kuongelewa tu na linaisha.Wanachadema msishabikie vita wanayotaka magamba kwani wanatafuta pa kujinasua baada ya janja zao zote kugundulika.
 
Lowasa adhabu yake ni kunyongwa 2 mpaka afilie mbali jambaz mkubwa huyu

Aiseeeeee! Unabahati wewe! Ulikuwa unatakiwa ban,hata hivyo hawa jamaa pro EL hupenda sana kufagilia mambo ya EL.ufisadi kwao sadat.
 
Lowasa hata aseme nini, ni mnafiki na hafai hata kwa kuungaunga! Fisadi yeyote hafai kuongoza nchi maana ana vifisadi vyenzake na watatumaliza.
 
hapo ujue kuna dili la kupitisha bajeti ya dharura ili mafisadi wajimegee mafungu.
Utakuja kusikia mabilioni kadhaa yanahitajika kufanya upembuzi yakinifu juu ya suala la vita na malawi
 
Lowassa na Membe wamejitwalia madaraka ya rais ya kutangaza Hali ya Vita kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri Ibara ya 44.
 
Binafsi nataka rais kama huyu.

Hamumunyi maneno na anajua mood ya nchi na pia yuko decisive. Naamini huyu anafaa kuwa my Commander in Chief japo kwa sasa he's in waiting.

Ni walewale hana lolote, anakimbilia kusungumzia vita badala ya majadiliano ya amani
 
Binafsi nataka rais kama huyu.

Hamumunyi maneno na anajua mood ya nchi na pia yuko decisive. Naamini huyu anafaa kuwa my Commander in Chief japo kwa sasa he's in waiting.

Si vyema kuanza kuambukizana ujinga humu ndani...Tafadhari nakuombeni
 
Huyu bwana na Kamati yake, kama zilivyo Kamati nyingine ambazo ni swamps of corruption wanajaribu kufanya blackmail kwa serikali na mawziri wao, ndo maana wanaumbuka na hizo rushwa wanazoomba.

Lete ushahidi wa hiyo rushwa tafadhali

Halafu kwa nini wewe huwa unapanic na ma online beefs haya? sasa utakuna na beef na watu wangapi online? hivi unajua kuna watu wanakuja humu kukuwind up makusudi ili u react?
 
Back
Top Bottom