Edward lowassa, rostam aziz, andrew chenge, nazir karamagi karibuni chama chetu

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Wakuu napenda kuwakaribisha wale magwiji wa siasa za tz katika chama chetu kipya kabisa baada ya kupewa indiketa ya kutaka kujiondoa kabla ya kuondolewa katika chama chao cha awali: Chama cha magamba

chama chetu kipya (cck) ni chama cha wale wote wanaoshutumiwa katika maeneo tofauti tujiunge pamoja ili tuweze kufarijiana vizuri na kuweza kupata nafasi ya kujibu mashambulizi dhidi yetu na kutoa vijembe kwa wale wote ambao chama cha magamba wanaogopa kusema

uongozi:

M/kiti tutampa edward lowassa

katibu : Naziri karamagi

mhazini: Rostam azizi

mwanasheria wa chama: Andrew chenge

itikadi na uenezi: Sheikh yahya

propaganda: Yusuph makamba

kamati kuu itakuwa na wafuato:

1. Lawrence masha

2. Sophia simba

3. Zakaria kakobe

4. Hamis mgeja

5. Benno malisa

6. Ridhiwani jk

wadau mnaweza ongeza na kupunguza orodha
 
prophet ni Chama Chenye Magamba. baada ya muda fulani wanajivua ganda kuukuu ili liote jingine. ila nalo ni gamba pia.
 
DDP- mkurugenzi wa kujihami
IGP Said Mwema - mkuu wa ulinzi na intelejensia ya chama
 
Tambwe Hiza - Naibu Mropokaji
Bagenda - Mshauri wa Siasa
Salva Rweyemamu - Mratibu wa Mawasiliano
Makongoro Mahanga - Mjumbe wa Kamati Kuu
Peter Serukamba - Mshauri Mkuu wa EL
 
Sishangai chama chako kikapata kura nyingi sana kwa watanzania as Long as Pesa za T-shirts na pombe za kienyeji mnazo nyingi kuliko sisi em.
 
Wakuu napenda kuwakaribisha wale magwiji wa siasa za tz katika chama chetu kipya kabisa baada ya kupewa indiketa ya kutaka kujiondoa kabla ya kuondolewa katika chama chao cha awali: Chama cha magamba

chama chetu kipya (cck) ni chama cha wale wote wanaoshutumiwa katika maeneo tofauti tujiunge pamoja ili tuweze kufarijiana vizuri na kuweza kupata nafasi ya kujibu mashambulizi dhidi yetu na kutoa vijembe kwa wale wote ambao chama cha magamba wanaogopa kusema

uongozi:

M/kiti tutampa edward lowassa

katibu : Naziri karamagi

mhazini: Rostam azizi

mwanasheria wa chama: Andrew chenge

itikadi na uenezi: Sheikh yahya

propaganda: Yusuph makamba

kamati kuu itakuwa na wafuato:

1. Lawrence masha

2. Sophia simba

3. Zakaria kakobe

4. Hamis mgeja

5. Benno malisa

6. Ridhiwani jk

wadau mnaweza ongeza na kupunguza orodha

7.Mh Lusekelo(Mzee wa Upako)-CC

Prof Maji Marefu-Waziri:Sayansi,Teknologia (ya anga) na Elimu ya Juu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom