Edward Lowassa Ndani ya Manispaa ya Shinyanga kwenye Harambee ya KKKT

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa ambapo yeye ndiye mgeni rasmi. Wadau wa JF waliopo huko ebu fuatilieni nyendo za kiongozi huyu na kutumwagia nyepesinyepesi hapa jamvini.
 
Mwacheni huyu bwana. Kwani kawafanya nini ambacho hao viongizi wenu wengine hawakufanya. Si aheri huyu alikuwa anafwatilia mambo kuliko huyoooo........Gadafi alionekana mbaya lakini kimeanza kunuka huko wanamjutia sasa. Hakuna mtu msafi 100%, lakini wapo ambao ni afadhali.

"Mgonjwa wa wodini si saw na wa ICU."

Hongera Rais ajae 2015 ! lowasa. Big up mkuu.
 
Katika maisha kuna watu ambao tunawaita "tough guy" .Huwa wanapitia misukosuko mingi lakini mwisho wa siku wanaibuka kama watu wema wenye nguvu na ushawishi regardless imewachukua muda gani kurudi kwenye form-Lowassa,Zuma,A. Wade wa senegal,Satta wa Zambia n.k ni watu wa type hiyo.
Muhimu kukumbuka ni kwamba haijalishi wametumia njia halali au haramu kufikia kwenye wema upya lakini pindi wanapozitumia hizo njia hufanikiwa. Mfano mwingine: Mtu anafukuzwa kazi,anadhalilika, kudharaulika na kupigika haswa lakini mwisho wa siku anaibuka na kazi nyingine nzuri zaidi ya awali ama biashara inayolipa zaidi. Watu hawa wapo katika jamii zetu kinachowatofautisha ni njia za kurudi kwenye mafanikio.
 
Habari nzuri sana hii Mh Rais ajaye endeleza harakati mpaka wabaya wako wanyanyue mikono.El For 2015
 
Huyu ni fisadi. Hawezi kuwa Rais. Akiwa Rais atawakamata vipi mafisadi? Ili nchi iendelee Serikali inapojenga barabara,inapojenga majumba,inapojenga dams;wananchi wanaotolewa pale lazima walipwe fidia,na wanapolipwa fidia,lazima wapunjwe sana,lazima kila siku wananchi wawe wanalalamika tu,people have to sacrifice present comfort for future prosperity. That is what Capitalism is all about. Sasa hizi kazi zote za lazima za maendeleo utazifanya vipi if you have too contend with fraudsters like this Good Sir?
 
...kweli EL na KKKT hawakukutana barabarani!

Alianza kujisafishia nigeria sijui ni kanisani au ndo kule kwenyewe sijui, sasa makanisani na makanisa yetu yalivyoweka maslahi ya fedha mbele hawaangalii kashfa zao na nia zao nao wanawakumbatia na mwisho wake utasikia ni chaguo la Mungu ila naamini ktk hili Mungu atateta na kumuumbua
 
Mwacheni huyu bwana. Kwani kawafanya nini ambacho hao viongizi wenu wengine hawakufanya. Si aheri huyu alikuwa anafwatilia mambo kuliko huyoooo........Gadafi alionekana mbaya lakini kimeanza kunuka huko wanamjutia sasa. Hakuna mtu msafi 100%, lakini wapo ambao ni afadhali.

"Mgonjwa wa wodini si saw na wa ICU."

Hongera Rais ajae 2015 ! lowasa. Big up mkuu.

kwa haya maneno uliyoandika yafaa ukaungame maana siku ya hukumu utajuta kwakumtetea huyu mtu
 
Katika maisha kuna watu ambao tunawaita "tough guy" .Huwa wanapitia misukosuko mingi lakini mwisho wa siku wanaibuka kama watu wema wenye nguvu na ushawishi regardless imewachukua muda gani kurudi kwenye form-Lowassa,Zuma,A. Wade wa senegal,Satta wa Zambia n.k ni watu wa type hiyo.
Muhimu kukumbuka ni kwamba haijalishi wametumia njia halali au haramu kufikia kwenye wema upya lakini pindi wanapozitumia hizo njia hufanikiwa. Mfano mwingine: Mtu anafukuzwa kazi,anadhalilika, kudharaulika na kupigika haswa lakini mwisho wa siku anaibuka na kazi nyingine nzuri zaidi ya awali ama biashara inayolipa zaidi. Watu hawa wapo katika jamii zetu kinachowatofautisha ni njia za kurudi kwenye mafanikio.

Kama umethubutu kumfananisha Zuma na El basi tena wewe na wenzako wanaowaza hivyo kwishne au ndo lile fungu la kumsafisha limewafikia
 
Habari nzuri sana hii Mh Rais ajaye endeleza harakati mpaka wabaya wako wanyanyue mikono.El For 2015

Itakuwa hivyo kama katiba ijayo itatoa nafasi rais wa mafisadi hiyo itamfaa ila kwa rais wa waTz wapo watu wasafi na wenye sifa za kuwa rais
 
aliyempa urais lowasa ni nani?
au unapomwita "rais'unamanisha ni rais wa kitu/watu gani?
 
Huyu inabidi avae kabisa joho za kichungaji aachane na siasa!Pastor Lowassa.
 
Huyu ni fisadi. Hawezi kuwa Rais. Akiwa Rais atawakamata vipi mafisadi? Ili nchi iendelee Serikali inapojenga barabara,inapojenga majumba,inapojenga dams;wananchi wanaotolewa pale lazima walipwe fidia,na wanapolipwa fidia,lazima wapunjwe sana,lazima kila siku wananchi wawe wanalalamika tu,people have to sacrifice present comfort for future prosperity. That is what Capitalism is all about. Sasa hizi kazi zote za lazima za maendeleo utazifanya vipi if you have too contend with fraudsters like this Good Sir?

bora ya huyu fisadi lakini ana maamuzi na anaweza uongozi sio zezeta lililoko magogoni na jingine linajifanya toto la mkulima ....
 
Kama umethubutu kumfananisha Zuma na El basi tena wewe na wenzako wanaowaza hivyo kwishne au ndo lile fungu la kumsafisha limewafikia

Hujasoma vizuri thread yangu nina hakika umekurupuka.Sijamtazama El kama unavyofikiri nachoeleza ni kuwa El anaibuka taratibu...kama una kumbukumbu ni watu wengi walimlaumu wakati wa kashfa ya Richmond na kumbandika majina lukuki lakini taratibu idadi yao inapungua, na wala sisemi kuwa ametakasika au ni msafi kuliko hapo kabla ila kariba ya watu wa aina yake ni ngumu kuififisha,itaibuka tu kwa mbinu halali au vinginevyo.

Hata zuma unayemtaja alikuwa na kashfa ya rushwa na kumbaka mwanamke japo ililainishwa ikawa kufanya nae mapenzi au kwa lugha rahisi kuzini na kimada...Kwa nchi zenye demokrasia iliyokomaa hili ni kosa kubwa kwa mwanasiasa hata kama ni tuhuma tu, na asingeupata huo utukufu.Lakini akaibuka ghafla na kutetewa na wana-NIC wengi.

Mara nyingi nimekuwa nikiona watu wengi wanabandikwa majina ya "payroll ya El" nami si muda mrefu nimejiunga na Jf ingawa kwa miaka kadhaa nimekuwa msomaji tu,nashangaa unaniwek kwenye fungu la kumsafisha - ajabu sana- nakushangaa.

Ni vizuri kujadili hoja si kuhitimisha kivivu...si lazima kuandika kama huna hoja.
 
Akuna kulala lowassa ]na catholic tuko nyuma yako milele
samahani kuweka wazi ni waziri ambae leo hii angekuwa madarakani natumaini upumbavu na upuuzi wa manispaa kuiba million 300 mpaka billion 2 na cag kukaa kimya na rais kukaa kimya asingeweza vumilia upumbavu huu jamani
is my president so far ...
 
Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa ambapo yeye ndiye mgeni rasmi. Wadau wa JF waliopo huko ebu fuatilieni nyendo za kiongozi huyu na kutumwagia nyepesinyepesi hapa jamvini.

Huyu mgonjwa wa gauti anahangaika! kwani lazima uwe raisi?
 
Akuna kulala lowassa ]na catholic tuko nyuma yako milele
samahani kuweka wazi ni waziri ambae leo hii angekuwa madarakani natumaini upumbavu na upuuzi wa manispaa kuiba million 300 mpaka billion 2 na cag kukaa kimya na rais kukaa kimya asingeweza vumilia upumbavu huu jamani
is my president so far ...

Mnajifanya mnajua nyie tu!!
Lowassa angemchukulia hatua Mkurugenzi gani wa halmashauri!? ilhali wote ni jamaa zake wa Monduli tena vilaza tu.... angekuwa anawadili wakurugenzi ambao hajawaweka yeye ili awaingize njeree wa Monduli na jamaa zake wa karibu ili kuzidi kujiimarisha kama ilivyo kawaida yake......
 
Back
Top Bottom